Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani:
1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni mifano tosha)
2.Watafanya mambo mengi ya ajabu kama watu waliochanganyikiwa(mtu kushangilia kauli ya kutaka mwanasiasa mwenzake auwawe ni mfamo mmoja tu)
3.Watasambaza propaganda za kila aina kujaribu kuficha na kuhadaa umma juu ya hatari inayowakabili(kutuambia RC yule amepigwa ban kwa sababu tu ya kupinga ushoga ni moja ya aina hizo za propaganda).
4.Kuendelea kuvibana vyombo vya habari ili habari zinazoashiria anguko lao zisifike kwa umma
5.Frustrations kwa wengi wao zitaongezeka
6.Kutapatapa kwa kauli na vitendo kutaongezeka
7.Wataongeza chuki na hasira kwa wanaowapinga na kuwakosoa
8.Wataanza kugeukana wao kwa wao kadri matumaini yanavyotoweka miyoni mwao
9.Ya chini ya kapeti tutaanza kuyajua
10.Kuna mtu wataanza kujitenga nae kadri dunia itakavyokuwa inamtenga huku anguko lake likiaribia
11.Watakuwa hawaamini kinachotokea na kujiuliza tumekosea wapi
12.Wataanza kutafuta mchawi miongoni mwa wao ila itakuwa ni too late kwa wakati huo.
Kuacha madaraka(kupoteza dola) si jambo rahisi kama ilivyo kwa roho kuacha mwili hivyo ni lazima mtu ahangaike ingawa haisaidii.
Naishia hapo kutoa nafasi kwa muda kuja kuthibitisha.