Mungu alimleta jiwe ili kuvuruga hii nchi pamoja na ccm ili wananchi wapate akili na kuifyekelea mbali ccm.chadema, hiyo ban ni ya makonda na familia yake, haihusiani na serikali wala chama
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwa njia ya kuraKweli kabisa eti wanajidanganya kuchukua nchi October!! Watz siyo wajinga kiasi hicho acha hao vibaraka wawapige pesa mabeberu kuelekea uchaguzi mkuu hawajifunzi nao kila uchaguzi wanapigwa tu!
Hayo ndo madhara ya kuzuia watu kuzungumza waliyo nayo moyoni, mwanadamu siku zote akikosa uhuru wa kuzungumza anatafuta njia mbadala ya kuweza kufikisha aliyonayo moyoni, na hiki kilichotokea kwa zitto ndo madhara yake, laiti Kama wapinzani wangekuwa wanapewa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa na kuzungumza na wanachama wao haya ambayo yanatokea hii Leo yasingeweza tokeaKwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani:
1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni mifano tosha)
2.Watafanya mambo mengi ya ajabu kama watu waliochanganyikiwa(mtu kushangilia kauli ya kutaka mwanasiasa mwenzake auwawe ni mfamo mmoja tu)
3.Watasambaza propaganda za kila aina kujaribu kuficha na kuhadaa umma juu ya hatari inayowakabili(kutuambia RC yule amepigwa ban kwa sababu tu ya kupinga ushoga ni moja ya aina hizo za propaganda).
4.Kuendelea kuvibana vyombo vya habari ili habari zinazoashiria anguko lao zisifike kwa umma
5.Frustrations kwa wengi wao zitaongezeka
6.Kutapatapa kwa kauli na vitendo kutaongezeka
7.Wataongeza chuki na hasira kwa wanaowapinga na kuwakosoa
8.Wataanza kugeukana wao kwa wao kadri matumaini yanavyotoweka miyoni mwao
9.Ya chini ya kapeti tutaanza kuyajua
10.Kuna mtu wataanza kujitenga nae kadri dunia itakavyokuwa inamtenga huku anguko lake likiaribia
11.Watakuwa hawaamini kinachotokea na kujiuliza tumekosea wapi
12.Wataanza kutafuta mchawi miongoni mwa wao ila itakuwa ni too late kwa wakati huo.
Kuacha madaraka(kupoteza dola) si jambo rahisi kama ilivyo kwa roho kuacha mwili hivyo ni lazima mtu ahangaike ingawa haisaidii.
Naishia hapo kutoa nafasi kwa muda kuja kuthibitisha.
Kwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani:
1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni mifano tosha)
2.Watafanya mambo mengi ya ajabu kama watu waliochanganyikiwa(mtu kushangilia kauli ya kutaka mwanasiasa mwenzake auwawe ni mfamo mmoja tu)
3.Watasambaza propaganda za kila aina kujaribu kuficha na kuhadaa umma juu ya hatari inayowakabili(kutuambia RC yule amepigwa ban kwa sababu tu ya kupinga ushoga ni moja ya aina hizo za propaganda).
4.Kuendelea kuvibana vyombo vya habari ili habari zinazoashiria anguko lao zisifike kwa umma
5.Frustrations kwa wengi wao zitaongezeka
6.Kutapatapa kwa kauli na vitendo kutaongezeka
7.Wataongeza chuki na hasira kwa wanaowapinga na kuwakosoa
8.Wataanza kugeukana wao kwa wao kadri matumaini yanavyotoweka miyoni mwao
9.Ya chini ya kapeti tutaanza kuyajua
10.Kuna mtu wataanza kujitenga nae kadri dunia itakavyokuwa inamtenga huku anguko lake likiaribia
11.Watakuwa hawaamini kinachotokea na kujiuliza tumekosea wapi
12.Wataanza kutafuta mchawi miongoni mwa wao ila itakuwa ni too late kwa wakati huo.
Kuacha madaraka(kupoteza dola) si jambo rahisi kama ilivyo kwa roho kuacha mwili hivyo ni lazima mtu ahangaike ingawa haisaidii.
Naishia hapo kutoa nafasi kwa muda kuja kuthibitisha.
Heading ni future tense
Content ni past tensi
Kwa ufupi uzi unajipiga mitama wenyewe.
Polepole huyu hapaKwa kifupi,CCM sasa hawana tofauti na mfa maji ambae ni lazima atapetape kabla ya kufa,hivyo na CCM kupitia baadhi ya wanasiasa wao ni lazima watapetape kwa kufanya haya kabla ya kuanguka kutoka madarakani:
1.Watatoa kauli za ajabu na za kushangaza sana(Bhulembo na Kheri James kaui zao ni mifano tosha)
2.Watafanya mambo mengi ya ajabu kama watu waliochanganyikiwa(mtu kushangilia kauli ya kutaka mwanasiasa mwenzake auwawe ni mfamo mmoja tu)
3.Watasambaza propaganda za kila aina kujaribu kuficha na kuhadaa umma juu ya hatari inayowakabili(kutuambia RC yule amepigwa ban kwa sababu tu ya kupinga ushoga ni moja ya aina hizo za propaganda).
4.Kuendelea kuvibana vyombo vya habari ili habari zinazoashiria anguko lao zisifike kwa umma
5.Frustrations kwa wengi wao zitaongezeka
6.Kutapatapa kwa kauli na vitendo kutaongezeka
7.Wataongeza chuki na hasira kwa wanaowapinga na kuwakosoa
8.Wataanza kugeukana wao kwa wao kadri matumaini yanavyotoweka miyoni mwao
9.Ya chini ya kapeti tutaanza kuyajua
10.Kuna mtu wataanza kujitenga nae kadri dunia itakavyokuwa inamtenga huku anguko lake likiaribia
11.Watakuwa hawaamini kinachotokea na kujiuliza tumekosea wapi
12.Wataanza kutafuta mchawi miongoni mwa wao ila itakuwa ni too late kwa wakati huo.
Kuacha madaraka(kupoteza dola) si jambo rahisi kama ilivyo kwa roho kuacha mwili hivyo ni lazima mtu ahangaike ingawa haisaidii.
Naishia hapo kutoa nafasi kwa muda kuja kuthibitisha.
Hizo kwa Mbowe ni fursa za kupiga madili kama ilivokuwa 2015.Wewe endelea kuamini unachokiamini. Mwenye macho haambiwi tizama. Wewe unayaona au utayaona yanayoendelea hivi sasa. Mf mmoja tu nikupe: Kila wakati Viongozi Wakuu wa ccm na Serikali yake wanakutana Ikulu si kwa kupongezana bali kuapishana na kutuhumiana kwa waliotenguliwa. Kwanini?? Ni HOFU.
Sent using Jamii Forums mobile app
We huoni Jiwe hata wamarekani wanamuogopa?
CCM itatoka madarakani iwapo kutakua na vyama vyenye mipango,mikakati namlengo
We huoni Jiwe hata wamarekani wanamuogopa?
Eti makonda ndo anaminya haki za binaadam -
ujinga mtupu!
Wanajua wangesema tunamzuia Jiwe wangechekesha dunia kwa maana hana hata hitaji la kwenda huko.
Wanamjua Jiwe huwa hajaribiwi.Wanaanza na bashote then jiwe, hawawezi kuanza na jiwe kisha Bashite
Sent using Jamii Forums mobile app