Kabla CCM hawajaanuka kutoka madarakani, mtarajie mambo haya

Kweli kabisa eti wanajidanganya kuchukua nchi October!! Watz siyo wajinga kiasi hicho acha hao vibaraka wawapige pesa mabeberu kuelekea uchaguzi mkuu hawajifunzi nao kila uchaguzi wanapigwa tu!
Ccm haiwezi kutoka madarakani kwa njia ya kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ndo madhara ya kuzuia watu kuzungumza waliyo nayo moyoni, mwanadamu siku zote akikosa uhuru wa kuzungumza anatafuta njia mbadala ya kuweza kufikisha aliyonayo moyoni, na hiki kilichotokea kwa zitto ndo madhara yake, laiti Kama wapinzani wangekuwa wanapewa nafasi ya kufanya mikutano ya kisiasa na kuzungumza na wanachama wao haya ambayo yanatokea hii Leo yasingeweza tokea
 
Ninausubiri huo muda. Ila Kama ndoto. Labda baadae saanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polepole huyu hapa
 

Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Hizo kwa Mbowe ni fursa za kupiga madili kama ilivokuwa 2015.
 
Kwa uwepo wa viongozi kama Jecha? Vyama vya upinzani vina mipango, mikakati na malengo mazuri sana ila kuwepo kwa katiba mbovu na kutokuwepo tume huru ya uchaguzi. Uchaguzi wa serikali za mitaa umejionea wewe mwenyewe.
Nikulipe mshahara halafu umtangaze mpinzani. Jecha lazima atangaze CCM tu
CCM itatoka madarakani iwapo kutakua na vyama vyenye mipango,mikakati namlengo
 
Wanaanza na bashote then jiwe, hawawezi kuanza na jiwe kisha Bashite
We huoni Jiwe hata wamarekani wanamuogopa?
Eti makonda ndo anaminya haki za binaadam -
ujinga mtupu!
Wanajua wangesema tunamzuia Jiwe wangechekesha dunia kwa maana hana hata hitaji la kwenda huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…