Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Waulizwe Magungu,Dalal na Jarobu TEna waliofakamia korosho na juice za STATE HOUSE.
 
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Ndugu yangu, kalalamike kwenye mechi ya Mguto, au ya Msomali, au ya Kasongo yeye
 
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Eti hatuchezi, hii ni team ya Mo acha uohalla, Mo ndio mwamuzi simba icheze au isicheze haha
 
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Simba hawana akili ya aina hii! Walishatoka huko siku nyingi!
 
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Ntakuwa wa mwisho kuamini hili,timu mtaleta mtake msitake niko pale nimekaa
 
Kwann unaanzia tarehe 15, kwann usianzie tarehe 8?

Choice is yours, mkiamua leteni timu mfungwe mkiona vipi msilete mkatwe points hivyo tu, once again choice is yours
Kuhusu kukatwa points sahau
 
Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Majibu yakianza na Machi 8 kisha Juni 15 itapendeza sana
 
Back
Top Bottom