Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,999
- 33,523
Ni bahati yenu mmelendemka na mtaleta timu ila mngejifanya kukaza ungeona nini ingetokeaKuhusu kukatwa points sahau
Ni bahati yenu mmelendemka na mtaleta timu ila mngejifanya kukaza ungeona nini ingetokeaKuhusu kukatwa points sahau
We uko timu ipi na unacheza namba ngapi?Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Sahau kuleta timu, simba msimu huu walishamaliza ligiNi bahati yenu mmelendemka na mtaleta timu ila mngejifanya kukaza ungeona nini ingetokea
'Anayemshindilia' nao Wote Aliyekuzaa.Aiseeee hasa GENTAMYCINE
Ndo hivyoSahau kuleta timu, simba msimu huu walishamaliza ligi
Hamna uwezo huo, Simba ni ponjoro tu.
Kukaa kimya kunaumiza jamani!Eti hamchezi. 😃 hebu acheni kutuigilizia. 😂😂
Tatizo lilianzia tarehe 8 na sio tarehe 15Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
Hatari sanaHizo nyege zenu zitaisha kesho.... Maana toka trh 8 mnazo mnazizungusha tu sasa zmefika highest stage ko mkiguswa tu mnalowa!.
Yanga bingwa, mje msije!!Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!