Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo.
So far viongozi wa ngazi ya juu CHADEMA waliahidi kutokushiriki uchaguzi mkuu wa 2020 endapo kasoro kama zile au baadhi ya Sheria za uchaguzi hazitabadilishwa.
Sheria jazijabadilishwa na rough kubwa zaidi zilifanyika.
Tuliona jinsi watu walivyopita bila kupingwa.
Lakini viongozi wakubwa ambao mostly waligombea ubunge waliendelea na uchaguzi.
Binafsi niliona kuwa uchu wa nyadhifa ndio uliwafanya viongozi wale wakiongozwa na Mbowe kushindwa kususia uchaguzi ule wa 2020 . Waliamini labda wataokota viti na kula mema ya nchi.
Ikawa kinyume chake wengi au wote wakapumzishwa siasa.
Sasa kwanini Tanzania yenye Mambo mengi mazito ambayo viongozi hawa wanahubiri majukwaani tusiandamane kwa hayo badala yake wanakimbilia kupinga Sheria mpya ya uchaguzi inayotarajiwa kutumika kwenye uchaguzi mkuu 2025?
Kwanini tuandamane kwa kukemea dhambi ndogo kabla ya kubwa?
Hii maana yake ni kwamba viongozi wa upinzani wapo kwa ajili ya kusaka vyeo (ubunge).
Mimi siandamani. Labda maandamano yangehusu katiba mpya, kushinikiza afya bure, au maji bure n.k