Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 446 Reaction score 1,113 Aug 20, 2026 #1 Ndoa haivunjwi kila mara na kukosekana kwa upendo. Wakati mwingine huvunjwa na ego, kutokuelewana, kinyongo na kushindwa kujifunza kukua pamoja. Ndoa yenye afya si ile ambayo haina migogoro, bali ni ile ambayo watu wawili wanachagua kusuluhisha matatizo badala ya kushindana. Usisubiri ndoa yako ifike pabaya ndipo ujifunze haya. Msome mwenza wako, zungumzeni, sameheaneni na endeleeni kuchaguana kila siku.
Ndoa haivunjwi kila mara na kukosekana kwa upendo. Wakati mwingine huvunjwa na ego, kutokuelewana, kinyongo na kushindwa kujifunza kukua pamoja. Ndoa yenye afya si ile ambayo haina migogoro, bali ni ile ambayo watu wawili wanachagua kusuluhisha matatizo badala ya kushindana. Usisubiri ndoa yako ifike pabaya ndipo ujifunze haya. Msome mwenza wako, zungumzeni, sameheaneni na endeleeni kuchaguana kila siku.
Eli Cohen JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 11,191 Reaction score 35,870 Aug 20, 2026 #2 Ndoa ni stage ya maisha tu, achenu mbwembwe Ndoa sio shuruti. Ndoa sio sacred. Ndoa ni responsibility
Ndoa ni stage ya maisha tu, achenu mbwembwe Ndoa sio shuruti. Ndoa sio sacred. Ndoa ni responsibility
mwehu ndama JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,472 Reaction score 9,542 Aug 20, 2026 #3 Hayanaga muongozo
C Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 14,424 Reaction score 30,799 Aug 20, 2026 #4 Ndoa bila mtoto/maana yake inakuwa hamna!
Manyanza Platinum Member Joined Nov 4, 2010 Posts 22,269 Reaction score 58,563 Aug 20, 2026 #5 Nimepata notes 😃
Dr. Mariposa JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 5,921 Reaction score 19,772 Aug 20, 2026 #6 Uombe msamaha hata kama hujakosea!!!! Uzwazwa huo