Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa.
Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA alimuelewa sana mpwa wake. Alimpa zile zawadi alizokuja nazo. Mahusiano yalinoga mpaka binti akawa anaingia chumbani kwa anko usiku watu wakiwa wamelala.
Ni baada ya likizo kuwa inaishia ndiyo mama anagundua binti yake ameanza kutapika alfajiri kunapokucha. Bahati nzuri anko amekubali uhusika na amesema yuko tayari kumuo mpwa wake.
Kumbe kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara.