Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Rafiki unanichongea kwa shemeji yako akianicha jua si litaniwakia rafiki?G njoo huku uone ujumbe mubashara![emoji4][emoji4][emoji4]
Sawaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukae madani tafadhali mfadhili wetu wa wadangaji Mama Sabrina
Kuna watu wengine wana asili ya ubinafsi sana. Mzazi huwezi kumpangia mwanao masuala kama ndoa ambayo ni mambo mazito. Mimi mzazi akitaka anilazimishe nioe labda anipe billion ile Mo Dewji hapo anipe na mke anaetaka yeye nimuoe.
La sivyo ndio hapo kutaka ku fulfill dream ya mtu ambaye yeye hiyo ndoa wala hajui inaenda kuwa vipi. Mwisho wa siku ni lawama mateso na chuki
Nawadanganya niniMa Sab, unajua me sipandagi unavyowadanganya wenzio?!?!
Mambo mazito wanawake huchukulia mepesi bila kujali. Solution hapa ni mjeda kunyonga hako ka x kake kanakojua kicheche chake kimeolewa halafu kinaendeleza usenge-rema wake kwa mke wa mtu.
ya nini na maisha unayo huna stress na mtu. 😂Mimi nikipewa hizo billions za Mo nitaolewa ila miezi miwili naomba talaka
[emoji2089][emoji2089][emoji2089]!....Ukweli ni mchungu ila humfanya mtu kuwa huru na kufanya maamuzi sahihi!I love your wallet too bby
Huyo ndio keshamuharibia mjeda maisha kwa kutaka kumridhisha mamake, hivi wakiachana mamake atakuwa bado ameridhika?Akiua x atakuja mwingine bibie atakaempenda. Nimemshauri ahamie mkoa anakofanyia kazi mumeww wakaishi nae la sivyo itachukua muda huyu mwanamke kumpenda mjeda
Sasa kwa nini unamuaibisha shem wangu?!Rafiki unanichongea kwa shemeji yako akianicha jua si litaniwakia rafiki?
Umeanza lini umalaya?!!?Nawadanganya nini
Hujaona tumetukanwaSasa kwa nini unamuaibisha shem wangu?!