Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Hapa kwenye Pete ya uchumba ni ishara tuu haina lolote maana nadhiri yao walishapeanwa kitambo wakati wameanza mahusiano,kumbuka pia ndoa hufungwa na Mungu pale wanapokua wamepeana nadhiri kwamba tutaoana.siku ya harusi ni ushuhuda wa zile nadhiri walizopeanwa kwamaana ya token.
 
Popote ulipo agiza pepsi kwa mangi bili juu yangu, jiwe gizani ukisikia yalaa ujue limesha mpo poa mtu!
 
Mimi nikipewa hizo billions za Mo nitaolewa ila miezi miwili naomba talaka
Kuna watu wengine wana asili ya ubinafsi sana. Mzazi huwezi kumpangia mwanao masuala kama ndoa ambayo ni mambo mazito. Mimi mzazi akitaka anilazimishe nioe labda anipe billion ile Mo Dewji hapo anipe na mke anaetaka yeye nimuoe.

La sivyo ndio hapo kutaka ku fulfill dream ya mtu ambaye yeye hiyo ndoa wala hajui inaenda kuwa vipi. Mwisho wa siku ni lawama mateso na chuki
 
Akiua x atakuja mwingine bibie atakaempenda. Nimemshauri ahamie mkoa anakofanyia kazi mumeww wakaishi nae la sivyo itachukua muda huyu mwanamke kumpenda mjeda
Mambo mazito wanawake huchukulia mepesi bila kujali. Solution hapa ni mjeda kunyonga hako ka x kake kanakojua kicheche chake kimeolewa halafu kinaendeleza usenge-rema wake kwa mke wa mtu.
 
Akiua x atakuja mwingine bibie atakaempenda. Nimemshauri ahamie mkoa anakofanyia kazi mumeww wakaishi nae la sivyo itachukua muda huyu mwanamke kumpenda mjeda
Huyo ndio keshamuharibia mjeda maisha kwa kutaka kumridhisha mamake, hivi wakiachana mamake atakuwa bado ameridhika?
 
Back
Top Bottom