Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Sijaolewa ila najua utamu was mapenzi na nukuu
 
Ndoa ni kuelewana na kukubaliana, mambo ya upendo ukiyapa nafasi utaumia. Huyo binti/dada ni mjinga tu na huenda haelewi maisha yanahitaji nini. Inafikia wakati love counts so little in marriage.
 
Mie nawafahamu kama watatu walioolewa na wasiowapenda waume zao na hata watoto hawajazaa nao, wamezaa na wengine hukooo. Najiulizaga wanaolewa ili iweje bado sijapata majibu.
Hivi si wangeolewa tu na hao wanaohisi ndo wanawapenda sana? Kwani kuumiza hivyo watu wengine? Ndo unakuja kusikia mume amechinja mke na watoto..
 
Inasikitisha nshakutana na Dada mmoja nae muda kidogo kama 11 nyuma alishatuambiaga tusiolewe kwa kulipa fadhila yeye anajuta sana kufanya hyo mistake hampendi mmewe hata kidogo

Hata yeye anajua ex wake atataka amlale tu yaishe ila anampenda ex wake kama kitu gani. Imagine aligonga gari wakati tunaondoka tulipokuwepo badala ampigie mumewe amuambie akampigia simu ex wake eti bby nimegonga gari. Hapo mume kapiga simu kama 100 anazimute hajisikii kuongea nae
Too much kaahh!!!huyo Dada ana laana aseeh
 
Aisee pole yao, maana kuishi na mtu usiyempenda ilhali nje kuna mtu unayehisi unampenda zaidi; ni mtihani si kidogo. Yani bora umuache tu, hakuna ndoa ya kumuonea huruma wala kulipa fadhila
Inasikitisha nshakutana na Dada mmoja nae muda kidogo kama 11 nyuma alishatuambiaga tusiolewe kwa kulipa fadhila yeye anajuta sana kufanya hyo mistake hampendi mmewe hata kidogo
 
Huyo Dada analipa fadhila kwa kua mkaka kamsaidia sana ikabidi aolewe...Mungu atusaidie kwa kweli ila moyo bwana unajifunza kupenda sema wengine wanakua hawataki kubadilika tu,kama hvyo ex yupo anamridhisha vitu km hvyo ila naimani kabisaa watu wanajifunza kupenda na ukapenda vzr haswaa kama huyo mwenzao anajua thamani ya mapenzi
Aisee pole yao, maana kuishi na mtu usiyempenda ilhali nje kuna mtu unayehisi unampenda zaidi; ni mtihani si kidogo. Yani bora umuache tu, hakuna ndoa ya kumuonea huruma wala kulipa fadhila
 
Unajifunza kama ukiamua, especially ukishajua kuwa no matter what huyo uliyenaye ndo unaye. Ila ukiwa ndoani huku hisiani bado yupo ex/mchepuko; kujifunza kupenda kunakuwa wito. Kama hujaolewa moyo ukigoma unaacha tu, unangoja mwingine aje teh

Back
Top Bottom