Kabla Hujamhukumu Mwigulu Nchemba soma hapa

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
Kabla ya yote mimi ni simba damu.
Ok,
Baada ya Mwigulu kusaidi Kocha wa Yanga kurudi kwenye timu yake yamezuka maneno mengi sana kumtuhumu kwa namna moja ama nyingine.
Leo nimemsikia Komredi Mwigulu akihojiwa na kituo kimoja cha redio maelezo yake yamejitosheleza na nitajaribu kufupisha kile alichokieleza.

Kwanza yeye anapenda mpira na nia yake ni soma letu liendelee. Anasaidia timu nyingi sana na ana timu ya wizara ya Prison na anaisaidia kila anapohitajika.
Alisaidia pia kupatikana kwa uharaka wa working permit ya mchezaji mmoja wa african lyon na kocha wao.
Pia alikuwa na maongezi na viongozi wa Simba kuhusu majani ya bandia kwenye uwanja mpya wa Simba.
Kwa kifupi nimpe motisha Lameck aendelee hivyo hivyo katika kulikuza soka letu.
Pamoja na timu yetu ya taifa.
Viva Komredi. Bora tungekupa nchi kuliko huyu kauzu wa sasa hivi
 
Amenza kupenda mpira baada ya kuwa waziri, mimi nimesikia la kumrudisha, Kocha Var der Plugen, hayo mengine ndiyo kwanza nasikia toka kwako, ila pia sikutegemea ahojiwe, alafu akili udhaifu wake katika uongozi. Nimshauri tu kijana mwenzangu Mwigulu, unapokua kiongozi wa kitaifa, pamoja na mapenzi yako unahitaji kuwa na moyo wa uvumilivu, unaweza saidia Yanga kupitia mtu aliye huru. Ukiwa uwanjani uwe mfumilivu, huwezi kuja na gari ya serikali ukapewa heshima kama waziri, umeingizwa bure uwanjani, ukapewa kiti cha VIP alafu gori linafungwa unanyuka unashangilia upande mmoja, alafu ukitoka uwanjani unapeperusha bendera ya Taifa , kwanini wengine wasilalamike, wakati serekali unayoingoza ipo katika kubana matumizi. Sidhani Kikwete mpemzi mkubwa wa Yanga kama alifanya uzembe huu, au majaliwa, jikaze tu mh, Mwigulu kama wafanyavyo askari wako pale uwanjani, wanapenzi na moja kati ya hizi timu za ligi kuu, ila huwezi ona wakishangilia, ila kwenye vijiwe vya kahawa tunawakoma kwa maneno.
cc. mh, Mbowe.
 
Kumbe na ww ni ng'ombe ee
 
Wakati sarungi na kapuya ni mawaziri ww ulikuwa umezaliwa?
 
Mimi na Miaka 46 Sema lingine, nikukumbushe tu, hata waziri mkuu wa sasa ni mpenzi mkubwa wa Simba, je unamaanisha nini?
 
Mleta mada una mahaba niuwe na Yanga...
Ova
 
Mimi na Miaka 46 Sema lingine, nikukumbushe tu, hata waziri mkuu wa sasa ni mpenzi mkubwa wa Simba, je unamaanisha nini?
Ni jinsi gani haujitambui.... Kina Sarungi, kapuya walikuwa hawashangiliii eti mkuu!!!
 
MH kikwete aliwahi kupanga foleni kuingia shamba la bibi huku akiwa waziri... FAT waliweka katazo magari yasiingie uwanjani.. Walipomuona kwenye foleni (huku akiwa anabishana na mashabiki wa simba) wakamfuata aingie akakataa... Kweli toka kitambo alikuwa simple man
 
Ni jinsi gani haujitambui.... Kina Sarungi, kapuya walikuwa hawashangiliii eti mkuu!!!
Hivi hili neno kujitambua huwa mnajua sehemu ya kuliweka, hivi kweli huko kujitambua kwenyewe unajua maana yake, maana neno ukiliweka pasipostahili, inaonyesha wewe kuto jua maana ya neno na libatumika wakati gani.
 
Back
Top Bottom