Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Kabla ya yote mimi ni simba damu.
Ok,
Baada ya Mwigulu kusaidi Kocha wa Yanga kurudi kwenye timu yake yamezuka maneno mengi sana kumtuhumu kwa namna moja ama nyingine.
Leo nimemsikia Komredi Mwigulu akihojiwa na kituo kimoja cha redio maelezo yake yamejitosheleza na nitajaribu kufupisha kile alichokieleza.
Kwanza yeye anapenda mpira na nia yake ni soma letu liendelee. Anasaidia timu nyingi sana na ana timu ya wizara ya Prison na anaisaidia kila anapohitajika.
Alisaidia pia kupatikana kwa uharaka wa working permit ya mchezaji mmoja wa african lyon na kocha wao.
Pia alikuwa na maongezi na viongozi wa Simba kuhusu majani ya bandia kwenye uwanja mpya wa Simba.
Kwa kifupi nimpe motisha Lameck aendelee hivyo hivyo katika kulikuza soka letu.
Pamoja na timu yetu ya taifa.
Viva Komredi. Bora tungekupa nchi kuliko huyu kauzu wa sasa hivi