Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Hata mpangilio wa channels wameshindwa kutafuta za michezo Moja ipo kusini nyingine magharibi, wanaboa! Hawana channel ya maana, channels 90% ni free to air, ila bado wanatulipisha! Wezi wakubwa!
Channel kama TheKiss..YA wingereza YA music hawana..The switch YA Kenya waliotoa..Sio kila MTU Ni fan Wa michezo..wekeni channel hata za documental, music hata Wa nje ka a TheKiss YA wingereza
 
Channel kama TheKiss..YA wingereza YA music hawana..The switch YA Kenya waliotoa..Sio kila MTU Ni fan Wa michezo..wekeni channel hata za documental, music hata Wa nje ka a TheKiss YA wingereza
Sawa sawa mkuu nimekucheck kule mkuu
 
Aisee, king'amuzi chao cha Antena ndo hatari zaidi, channels chache mno ila malipo yaleyale kama king'amuzi cha dish!
 
Back
Top Bottom