Ukichunguza sana hata hutamkwa, jitahidi kuchunguza kwa kiasi, mambo mengine si unamrekebisha tu, hakuna mkamilifuKuwa na mahusiano na mtu ni kama kuwa mpelelezi tu
ukishajua tabia zake unaamua kumuacha
au kuzivumilia au kuzikubali
Yote sawa tu hiyo inaonyesha namna gani kila mmoja yupo makini katika kuchagua nani wa kuishi naeUkiwa unamchunguza na yeye anakuchunguza mnachunguzana.
Nilipiga maombi tu... Maombi yangu yaligusa mule napotaka hakika nikapata kipendacho roho, sio rahisi ila kwa maombi ni rahisi mno, Mungu anakupa unachokiamini na unacho kuzungumza mdomoni.. Uwaminifu wa Mungu ni mkuuWako ulimpataje jirani.
Nami nimemaanisha hivyo....kwa wengine unajambaje kwa mfano😀Jamba ila tukiwa wawili tu, sio unajamba hata mbele za watoto au wadogo zako
Ameeeeen🙌hakuna jambo gumu kwa JehovahNilipiga maombi tu... Maombi yangu yaligusa mule napotaka hakika nikapata kipendacho roho, sio rahisi ila kwa maombi ni rahisi mno, Mungu anakupa unachokiamini na unacho kuzungumza mdomoni.. Uwaminifu wa Mungu ni mkuu
Si kuna kale kamsemo mchagua jembe sio mkulima [emoji38][emoji38][emoji38], kumchunguza mtu sio kazi ndogo eti unaweza ukaacha mambo yako yote busy na uchunguzi na bado unamchungumza mtu na usimmalize....Umesema kweli, binadamu tunajua kupritendi balaa
Ukiwa na wengine kama watoto, wadogo zako unajamba kimyakimya yani una kibana hivi acha harufu with no evidenceNami nimemaanisha hivyo....kwa wengine unajambaje kwa mfano[emoji3]
Safi kabisaAmeeeeen[emoji119]hakuna jambo gumu kwa Jehovah
Ohooo Hallelujah..Mungu aendelee kukutunzia familia yakoNilipiga maombi tu... Maombi yangu yaligusa mule napotaka hakika nikapata kipendacho roho, sio rahisi ila kwa maombi ni rahisi mno, Mungu anakupa unachokiamini na unacho kuzungumza mdomoni.. Uwaminifu wa Mungu ni mkuu
Hata wewe ukifanya vitu bila mtu kukuona unajiachia sana unafanya upumbavu ila sio kama haupo sahihi, kuna uhuru fulani hivi ukiwa nao nobody is watching unafanya kama chizi, ni kama simu yako ukiwa nayo huru unaweza kuaandika vitu fulani vya kimatani na rafiki yako wa kazini jinsia tofauti, ujinga mwingi uku una uhakika nobody is watching you Lakini sio kama ni msaliti ila basi tu ehh basi tu eh basi tu umejisikiaMtego mzuri ni kujifanya fala na kujifanya kipofu kwa mda kumbe unamhesabia hatua tu, kimoyomoyo unajisemea tukifika paleee sitaki tabu
Duh!!!! Hii siiamini kabisaa mkuu kweli siku 2 thats 48 hrs mtu haogi wala kusafisha kinywa? Teteteteteeehh!!!!mara haogi siku 2, hapigi mswaki n.k.
[emoji23][emoji23]
Ndo tutafanyishwa volunteer program mpaka tuote sugu dadeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyu ni mimi kabisa, ninapenda muziki kuliko kitu chochote
Hawezi ku fake kwa miezi 6 au zaidi mkuu. Hao ukiishi nao itafikia stage mnagombana then pale ndio utajua true colors zake. Hamuwezi kuishi mnachekeana 6 months.