Kabla hujaoa hakikisha unampigisha mwenzi wako Volunteer Program

Kabla hujaoa hakikisha unampigisha mwenzi wako Volunteer Program

Kuwa na mahusiano na mtu ni kama kuwa mpelelezi tu
ukishajua tabia zake unaamua kumuacha
au kuzivumilia au kuzikubali
Ukichunguza sana hata hutamkwa, jitahidi kuchunguza kwa kiasi, mambo mengine si unamrekebisha tu, hakuna mkamilifu
 
Mtego mzuri ni kujifanya fala na kujifanya kipofu kwa mda kumbe unamhesabia hatua tu, kimoyomoyo unajisemea tukifika paleee sitaki tabu
 
Umesema kweli, binadamu tunajua kupritendi balaa
Si kuna kale kamsemo mchagua jembe sio mkulima [emoji38][emoji38][emoji38], kumchunguza mtu sio kazi ndogo eti unaweza ukaacha mambo yako yote busy na uchunguzi na bado unamchungumza mtu na usimmalize....
 
Nilipiga maombi tu... Maombi yangu yaligusa mule napotaka hakika nikapata kipendacho roho, sio rahisi ila kwa maombi ni rahisi mno, Mungu anakupa unachokiamini na unacho kuzungumza mdomoni.. Uwaminifu wa Mungu ni mkuu
Ohooo Hallelujah..Mungu aendelee kukutunzia familia yako
 
Mfumo dume umeharibu takribani ulimwengu mzima mpaka umeshawaathiri hata wanyonywaji wenyewe, binadam wote ni sawa ukiachana na UTAMADUNI katika kipengele cha dini kinachomshusha mwanamke,kwani anamoyo na hisia kama tulizonazo wanaume.Mwanamme akichepuka hata jamii haioni Soni,akisababisha mimba bila mpango,akibaka n.k ila mambo haya akifanya mwanamke ni kama amevua nguo kwenye mkutano wa watu.Nishukuru wafeministi wanaopigania haki za wanawake entire the world.Hivi tunapowachunga wake zetu wasichepuke mara wasifanye moja mbili tatu hivi sisi tunaenda kinyume na wanayoyafanya?
Pengine sijui tunadhani wao hawana wivu kama tulizonazo sisi au sisi wanaumme tumeumbwa kwa ajili ya kuzuia matendo mabaya ya wanawake angali ya kuwa sisi ndiyo wagenzi na waasisi wa tusivyotaka wao wavifanye?
Tutambue kuwa vile ambavyo hatutaki wao watufanyie na wao vile vilevile hawataki tuwafanyie lakini mwanamme hawezi kuacha kufanya.Mwanamke akifanya anaonekana kafanya kosa kubwa kweli hadi vingine vinaudhi.
 
Mtego mzuri ni kujifanya fala na kujifanya kipofu kwa mda kumbe unamhesabia hatua tu, kimoyomoyo unajisemea tukifika paleee sitaki tabu
Hata wewe ukifanya vitu bila mtu kukuona unajiachia sana unafanya upumbavu ila sio kama haupo sahihi, kuna uhuru fulani hivi ukiwa nao nobody is watching unafanya kama chizi, ni kama simu yako ukiwa nayo huru unaweza kuaandika vitu fulani vya kimatani na rafiki yako wa kazini jinsia tofauti, ujinga mwingi uku una uhakika nobody is watching you Lakini sio kama ni msaliti ila basi tu ehh basi tu eh basi tu umejisikia
 
Ubaya ulipokuwa ubaya tunachokonda ni nini?
Mara uchunguzi,mara utawani! je wewe ukifanyiwa uchunguzi utapata make wa kumuoa kwa tabia ulizonazo?
Tunawaharibu wenyewe halafu tunawakataa wenyewe, hopeless kabisa.
 
Nimesoma comments zote mpaka hapa,, kwa uhakika tu Ni kwamba hamtujui wanawake kabisa mmejitahidi walau kuifikia robo tu,,

Cha kuwashaurini nyie mnaojiita mabaharia kwenye hizo mbinu zenu msiifanye mioyo ya wanawake zenu kuwakinai,, jehanamu mtaanza nayo hapa hapa duniani
 
Hawezi ku fake kwa miezi 6 au zaidi mkuu. Hao ukiishi nao itafikia stage mnagombana then pale ndio utajua true colors zake. Hamuwezi kuishi mnachekeana 6 months.

Ukiishi nae six months huyo ni mke anaweza dai haki zake so be careful bila kuwa na Mungu mtahangaika sana
 
Back
Top Bottom