Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.
Nimefanikiwa kusikiliza mahojiano "adhimu" kati ya Mtangazaji mahiri sana Ndugu Ghassan, amemhoji na akampa muda Kabendera kujieleza; kwa kifupi
1. Kabendera anaijua historia ya kile alichokiandikia
2. Kabendera ni mwandishi wa habari za "kiuchunguzi" aliyebobea
3. Kabendera ana "vifaa" vya kazi vinavyomsaidia kufanya hizo habari za kiuchunguzi
4. Kabendera ana "network" kubwa sana na genuine na ya muda mrefu sana ndani ya serikali
5. Kabendera ni Msomi, na mpiganaji wa kada yake.
6. Uandishi wa kitabu hiki umepitiwa na wabobevu wengi "kimataifa" wahariri kati ya 40-50 worldwide
7. Ana ushahidi kutoka nchi mbali mbali na watu mbali kuhusu aliyoyaandika
8. Amefanya utafiti wa kutosha , around watu 250 wameshiriki kutoa maoni yao kuhusu kitabu chake wakati wa maandishi
9. Ushahidi na taarifa alizonazo angeweza kutengeneza kitabu chenye page nyingi sana
10. Wahariri wakubwa zaidi ya ishirini wamekisoma kabla ya final draft na printing kufanyika
11. LAKINI nililoelewa MIMi ni kwamba, jamaa ana taaluma ya USHUSHU kwa level kubwa sana na ana support kubwa kutoka anakokujua yeye.
12. Amefanya uchunguzi kuhusu Utakatishaji fedha kwa level ya kimataifa (huyu anajua mengi)
13. Jamaa ana historia ya matukio ya kutishiwa na serikali
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.
Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.