Kabla hujasoma Kitabu cha Kabendera, nashauri sana tungesikiliza Mahojiano ya Ghassan na Kabendera

Nondo nyingine kukusaidia msomaji uelewe masimulizi ya ukweli ya Eric Kabendera unaweza kusoma baadhi ya vitabu kuelewa dola (state) hutumia misuli gani :

Jiwe mikono yake ilikuwa imeloa damu!

..Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.

..Kuna FUNZO kubwa hapa kuhusu mambo ya kutembea na silaha. Ni mtihani mkubwa sana kuwa na silaha za moto. Wakati mwingine zinaweza kukuletea madhara wewe mwenyewe.
 
Yes, ni hatari Sana Sana
 
wanafunzi wanne wa Mama yake kabendera wamekua kwenye baraza, kabendera amewahi kupewa kesi kuwa sio raia, amefanya kazi kwa karibu sana na mama yake mzazi kama Mentor wake na ndio maana kuna sura mahususi ya kuhusu Mama yake, walikua na mipango kadhaa na mama yake kabla ya kifo chake, Mama yake na wenzake kadhaa wamewahi kuandamana enzi hizo za "giza" ili waruhusiwe kufanya mitihani, waliandamana kwa muda wa week nzima hadi wakaruhusiwa kufanya mitihani
Sijaielewa!
 
Wauaji mmeumbuliwa na Kabebdera.
Unadhani Hiki kitabu kitamuokoa Sultan na sintofahamu ya wanachama wake waliofikwa na sintofahamu!!!Kilichosemwa kamati Kuu kilimdhuru mtoa taarifa kwa mwanakamati Kuu mashuhuri!!!
 
Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.

Nimefanikiwa kusikiliza mahojiano "adhimu" kati ya Mtangazaji mahiri sana Ndugu Ghassan, amemhoji na akampa muda Kabendera kujieleza; kwa kifupi
1. Kabendera anaijua historia ya kile alichokiandikia
2. Kabendera ni mwandishi wa habari za "kiuchunguzi" aliyebobea
3. Kabendera ana "vifaa" vya kazi vinavyomsaidia kufanya hizo habari za kiuchunguzi
4. Kabendera ana "network" kubwa sana na genuine na ya muda mrefu sana ndani ya serikali
5. Kabendera ni Msomi, na mpiganaji wa kada yake.
6. Uandishi wa kitabu hiki umepitiwa na wabobevu wengi "kimataifa" wahariri kati ya 40-50 worldwide
7. Ana ushahidi kutoka nchi mbali mbali na watu mbali kuhusu aliyoyaandika
8. Amefanya utafiti wa kutosha , around watu 250 wameshiriki kutoa maoni yao kuhusu kitabu chake wakati wa maandishi
9. Ushahidi na taarifa alizonazo angeweza kutengeneza kitabu chenye page nyingi sana
10. Wahariri wakubwa zaidi ya ishirini wamekisoma kabla ya final draft na printing kufanyika
11. LAKINI nililoelewa MIMi ni kwamba, jamaa ana taaluma ya USHUSHU kwa level kubwa sana na ana support kubwa kutoka anakokujua yeye.
12. Amefanya uchunguzi kuhusu Utakatishaji fedha kwa level ya kimataifa (huyu anajua mengi)
13. Jamaa ana historia ya matukio ya kutishiwa na serikali
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.

Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.

View attachment 3192096
Pamoja na yote kuna mahala sikukubaliana na Kabendela.. aliposema Magufuli hakuwahi kuhojiwa na waandishi. Lakini nakumbuka mkutano mmoja wa waandishi wa habari aliruhusu maswali na Pascal Mayala akamuuliza swali naye Magufuli akamwita kwa utani njaa. Pia tuwe wakweli kuhusu Azory Gwanda, hivi bila Ile operation ya Kibiti leo kusini yote ingekuwaje kama sio ingekuwa kama Somalia na Nigeria ? Serikali isingeingilia kati leo kusini au Tanzania yote tungekuwa tunakimbia na magodoro kama Congo na Sudan.
 
..Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.
Retrospectively, Magufuli alijinasibisha sana na mambo ya dini, kuchangia Misikiti, Makanisa n.k.
Alikuwa karibu sana wanaoitwa viongozi wa kiroho
Akiwa Kanisani (mfano, kuna picha wakiwa na Mkapa) unamuona ni kama mtu anayetubu, kujutia au kuomba msamaha
 
Maswali najiuliza...

Ameandika Kitabu ili iweje?

Kwamba Watanzania tuukatae Uongozi unaopingana na Ubeberu?
=============
Nishasema, Ukiunganisha yote yaliosewmwa kuhusu madikteta waliowahi kuishi nabkuongoza hapa Duniani, Magufuli hata na P.H..D yake, hawezi kukwalify. Yaani kwenye Usaili wa Madikteta Duninani. Anapigwa chini, pwaa.
 
..Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.
So, you are suggesting Magufuli shot and Killed Ben Saanane accidentaly with his own Pistol??
..Kuna FUNZO kubwa hapa kuhusu mambo ya kutembea na silaha. Ni mtihani mkubwa sana kuwa na silaha za moto. Wakati mwingine zinaweza kukuletea madhara wewe mwenyewe.

Kumbe, ndio maana kule Ulaya na Marekani wanauwana kama mtoto anavyokula peremende🙌🏾

Tell this to your friends with their second ammendment.
 
Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.

Nimefanikiwa kusikiliza mahojiano "adhimu" kati ya Mtangazaji mahiri sana Ndugu Ghassan, amemhoji na akampa muda Kabendera kujieleza; kwa kifupi
1. Kabendera anaijua historia ya kile alichokiandikia
2. Kabendera ni mwandishi wa habari za "kiuchunguzi" aliyebobea
3. Kabendera ana "vifaa" vya kazi vinavyomsaidia kufanya hizo habari za kiuchunguzi
4. Kabendera ana "network" kubwa sana na genuine na ya muda mrefu sana ndani ya serikali
5. Kabendera ni Msomi, na mpiganaji wa kada yake.
6. Uandishi wa kitabu hiki umepitiwa na wabobevu wengi "kimataifa" wahariri kati ya 40-50 worldwide
7. Ana ushahidi kutoka nchi mbali mbali na watu mbali kuhusu aliyoyaandika
8. Amefanya utafiti wa kutosha , around watu 250 wameshiriki kutoa maoni yao kuhusu kitabu chake wakati wa maandishi
9. Ushahidi na taarifa alizonazo angeweza kutengeneza kitabu chenye page nyingi sana
10. Wahariri wakubwa zaidi ya ishirini wamekisoma kabla ya final draft na printing kufanyika
11. LAKINI nililoelewa MIMi ni kwamba, jamaa ana taaluma ya USHUSHU kwa level kubwa sana na ana support kubwa kutoka anakokujua yeye.
12. Amefanya uchunguzi kuhusu Utakatishaji fedha kwa level ya kimataifa (huyu anajua mengi)
13. Jamaa ana historia ya matukio ya kutishiwa na serikali
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.

Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.

View attachment 3192096
Nitasikiliza endelea kutuwekea ushahidi mwingi, naenda kwa mwamposa kuongeza imani, nikitoka huko nitaamini kwa kadri ya mapokeo.
 
Mi nasubiri Jeshi la polisi litoe taarifa ya kukanusha, na watuambie wanachunguza na uchunguzi ukikamilika tutaletewa taarifa kamili.
 
So, you are suggesting Magufuli shot and Killed Ben Saanane accidentaly with his own Pistol??

Kumbe, ndio maana kule Ulaya na Marekani wanauwana kama mtoto anavyokula peremende🙌🏾

Tell this to your friends with their second ammendment.

..Ni kama tukio la CAPTAIN UKIWAONA RAMADHANI MWINSHEHE DITOPILE MZUZURI.

..John Magufuli with a loaded pistol on his hands, na alivyokuwa akipenda ujeshi-jeshi, anything could have happened.
 
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.

Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.
Hata mimi nimeona, ingawa nina maswali.
Kwanza sina shaka kuwa Kabendera aliteswa na kufungwa, na uchungu kwa mzazi.

Hii ya kumpiga risasi Beni na Kutaka kumbaka Makamu inavuruga kila kitu alichoandika. Anasema aliambiwa. Anazidi kusema vyanzo vyake vya serikali na opposition wote wanasema hivyo hivyo. Siwezi kwenda deep kwa vyanzo vya serikali. Ila kuwa opposition walikuwa wanajua, na hawajawahi kusema hilo, na tunavyojua nature ya opposition wetu walivyo waropokaji hii habari waliikalia kimya? Mind boggling.

Halafu role ya walinzi ni nini? Halafu siyo mlinzi mmoja. Pamoja na ubakaji. Je alimwita Makamu nyumbani kwake au alimfuata kwake? Many questions.

Kuna vitu vya muhimu kwenye kuandika report, hapa nashangaa msomi kama Kabendera ameacha vitu kama; Time line, stori kama hizi zilibidi ziwe na tarehe, miezi na miaka, hata saa. Lakini hiki hakipo. Mahali- (place); kiukweli kaongea jounarlitically, kumshawishi msomi akubali mmmm. Halafu hao watu waliomwambia walikuwa wapi. Yaani mtu apigwe risasi mbele ya watu, na unajua mwili uigwe risasi kichwani, damu, nk wasafishaji, watakaobeba mwili kupeleka huko hospitali kutoka Ikulu, madaktari wote wakae kimya? Siri iwe ya watu zaidi ya kumi? Mmmmmmmmm.

I need pinch of salt
 
..Ni kama tukio la CAPTAIN UKIWAONA RAMADHANI MWINSHEHE DITOPILE MZUZURI.

..John Magufuli with a loaded pistol on his hands, na alivyokuwa akipenda ujeshi-jeshi, anything could have happened.

Unlike Ditopile, Jiwe brought the young man in his own state house.Sorrounded by security, He had prepared his own gun in advance while knowing that he will have an encounter with unarmed young man and he shot him in cold blood. He then Dumped his body in River Rufiji. He even tried to assasinate Tundu Lissu, He butchered Azory Gwanda.

At least Ditopile faced Justice (sham as it was) but that monster Jiwe walked away scott -free to pretend that he is a president of Wanyonge!.
 
Katika maisha yako ogopa sana kuamini maneno ya watu!
Duniani uzushi hukuzwa na kuwa ukweli, Ushahidi mzuri wa tukio lolote huwa ni CCTV cameras, huyo dingi kaflag anatafuta umaarufu tu, kuna vitu Rais hawezi kufanya mf sijui kushika bastola nk huo ni uongo mkubwa. Rais haui mtu bali anaweza kuagiza tu wakufanya hiyo kazi wapo.
Mara sijui alitaka kufanya ubakaji kwa mazeri, kweli wabongo tunatia aibu, uzushi ni tabia zetu za kutokana na mtaala mbovu wa kayumba. Waliosoma Cambridge curriculum mamy I don't like that hawawezi kuandika ujuha.

Uzunguni kuna topic inaitwa Theory of Science ukisoma hiyo huaminishwi mambo ya kijuha.
 
Back
Top Bottom