Jiwe mikono yake ilikuwa imeloa damu!
Yes, ni hatari Sana Sana..Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.
..Kuna FUNZO kubwa hapa kuhusu mambo ya kutembea na silaha. Ni mtihani mkubwa sana kuwa na silaha za moto. Wakati mwingine zinaweza kukuletea madhara wewe mwenyewe.
Yes, ni hatari Sana Sana
Sijaielewa!wanafunzi wanne wa Mama yake kabendera wamekua kwenye baraza, kabendera amewahi kupewa kesi kuwa sio raia, amefanya kazi kwa karibu sana na mama yake mzazi kama Mentor wake na ndio maana kuna sura mahususi ya kuhusu Mama yake, walikua na mipango kadhaa na mama yake kabla ya kifo chake, Mama yake na wenzake kadhaa wamewahi kuandamana enzi hizo za "giza" ili waruhusiwe kufanya mitihani, waliandamana kwa muda wa week nzima hadi wakaruhusiwa kufanya mitihani
Unadhani Hiki kitabu kitamuokoa Sultan na sintofahamu ya wanachama wake waliofikwa na sintofahamu!!!Kilichosemwa kamati Kuu kilimdhuru mtoa taarifa kwa mwanakamati Kuu mashuhuri!!!Wauaji mmeumbuliwa na Kabebdera.
Hahahahaa ni kweli jamaa aliwahi kukiri yeye mwenyewe kuwa ni kichaa
Pamoja na yote kuna mahala sikukubaliana na Kabendela.. aliposema Magufuli hakuwahi kuhojiwa na waandishi. Lakini nakumbuka mkutano mmoja wa waandishi wa habari aliruhusu maswali na Pascal Mayala akamuuliza swali naye Magufuli akamwita kwa utani njaa. Pia tuwe wakweli kuhusu Azory Gwanda, hivi bila Ile operation ya Kibiti leo kusini yote ingekuwaje kama sio ingekuwa kama Somalia na Nigeria ? Serikali isingeingilia kati leo kusini au Tanzania yote tungekuwa tunakimbia na magodoro kama Congo na Sudan.Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.
Nimefanikiwa kusikiliza mahojiano "adhimu" kati ya Mtangazaji mahiri sana Ndugu Ghassan, amemhoji na akampa muda Kabendera kujieleza; kwa kifupi
1. Kabendera anaijua historia ya kile alichokiandikia
2. Kabendera ni mwandishi wa habari za "kiuchunguzi" aliyebobea
3. Kabendera ana "vifaa" vya kazi vinavyomsaidia kufanya hizo habari za kiuchunguzi
4. Kabendera ana "network" kubwa sana na genuine na ya muda mrefu sana ndani ya serikali
5. Kabendera ni Msomi, na mpiganaji wa kada yake.
6. Uandishi wa kitabu hiki umepitiwa na wabobevu wengi "kimataifa" wahariri kati ya 40-50 worldwide
7. Ana ushahidi kutoka nchi mbali mbali na watu mbali kuhusu aliyoyaandika
8. Amefanya utafiti wa kutosha , around watu 250 wameshiriki kutoa maoni yao kuhusu kitabu chake wakati wa maandishi
9. Ushahidi na taarifa alizonazo angeweza kutengeneza kitabu chenye page nyingi sana
10. Wahariri wakubwa zaidi ya ishirini wamekisoma kabla ya final draft na printing kufanyika
11. LAKINI nililoelewa MIMi ni kwamba, jamaa ana taaluma ya USHUSHU kwa level kubwa sana na ana support kubwa kutoka anakokujua yeye.
12. Amefanya uchunguzi kuhusu Utakatishaji fedha kwa level ya kimataifa (huyu anajua mengi)
13. Jamaa ana historia ya matukio ya kutishiwa na serikali
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.
Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.
View attachment 3192096
Retrospectively, Magufuli alijinasibisha sana na mambo ya dini, kuchangia Misikiti, Makanisa n.k...Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.
So, you are suggesting Magufuli shot and Killed Ben Saanane accidentaly with his own Pistol??..Kabendera amesema tukio la Magufuli kumuua Ben Saanane lilikuwa na bahati mbaya. Kwamba Magufuli alishindwa kudhibiti hasira zake. Na kwamba Magufuli alifedheheka, na kujutia, tukio hilo.
..Kuna FUNZO kubwa hapa kuhusu mambo ya kutembea na silaha. Ni mtihani mkubwa sana kuwa na silaha za moto. Wakati mwingine zinaweza kukuletea madhara wewe mwenyewe.
Nitasikiliza endelea kutuwekea ushahidi mwingi, naenda kwa mwamposa kuongeza imani, nikitoka huko nitaamini kwa kadri ya mapokeo.Wakuu , nimeona wengi tukiendeshwa na mihemko kuhusu kitabu cha Kabendera, wengi tukidhani kuwa jamaa aliandika tu kwa kukurupuka na kwamba hajui alichokiandika na hana ushahidi.
Nimefanikiwa kusikiliza mahojiano "adhimu" kati ya Mtangazaji mahiri sana Ndugu Ghassan, amemhoji na akampa muda Kabendera kujieleza; kwa kifupi
1. Kabendera anaijua historia ya kile alichokiandikia
2. Kabendera ni mwandishi wa habari za "kiuchunguzi" aliyebobea
3. Kabendera ana "vifaa" vya kazi vinavyomsaidia kufanya hizo habari za kiuchunguzi
4. Kabendera ana "network" kubwa sana na genuine na ya muda mrefu sana ndani ya serikali
5. Kabendera ni Msomi, na mpiganaji wa kada yake.
6. Uandishi wa kitabu hiki umepitiwa na wabobevu wengi "kimataifa" wahariri kati ya 40-50 worldwide
7. Ana ushahidi kutoka nchi mbali mbali na watu mbali kuhusu aliyoyaandika
8. Amefanya utafiti wa kutosha , around watu 250 wameshiriki kutoa maoni yao kuhusu kitabu chake wakati wa maandishi
9. Ushahidi na taarifa alizonazo angeweza kutengeneza kitabu chenye page nyingi sana
10. Wahariri wakubwa zaidi ya ishirini wamekisoma kabla ya final draft na printing kufanyika
11. LAKINI nililoelewa MIMi ni kwamba, jamaa ana taaluma ya USHUSHU kwa level kubwa sana na ana support kubwa kutoka anakokujua yeye.
12. Amefanya uchunguzi kuhusu Utakatishaji fedha kwa level ya kimataifa (huyu anajua mengi)
13. Jamaa ana historia ya matukio ya kutishiwa na serikali
Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.
Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.
View attachment 3192096
So, you are suggesting Magufuli shot and Killed Ben Saanane accidentaly with his own Pistol??
Kumbe, ndio maana kule Ulaya na Marekani wanauwana kama mtoto anavyokula peremende🙌🏾
Tell this to your friends with their second ammendment.
Hata mimi nimeona, ingawa nina maswali.Kuhusu Ben Saanane, anasema alianza kuwasiliana nae kwa kipindi kirefu, anasema hadi dakika za mwisho za Ben saa nane, kabendera alijua alikua wapi, na alikua na akina nani, na kwamba aliambniwa pia kuna mwili wa mtu mmoja ulifikishwa hospitali, anasema ilimnchukua mwaka mzima kujua huo mwili ulitoka wapi na ulifikanje hospitali, anasema walihoji watu 30 kwa nyakati tofauti, na kwamba mmoja wapo wa watu hao alimwamnbia kuwa aliyetenda jambo hilo ni bwana mkubwa na kwamba aliumia sana hadi kudondosha bastola yake baada ya kutenda tukio hilo...... anasema jamaa alipata mfadhaiko na kujutia tukio hilo.
Ngoja niishie hapa, sikilizeni wenyewe dakika ya 37 ya Youtube. Kabendera anasema alikua na kurasa 15 za kuandika tukio hili la Ben ila wamefupisha hadi kurasa tatu kutokana na ushauri wa wanasheria ikitokea mtu akapinga aliyoyaandika kuhusu hili.
..Ni kama tukio la CAPTAIN UKIWAONA RAMADHANI MWINSHEHE DITOPILE MZUZURI.
..John Magufuli with a loaded pistol on his hands, na alivyokuwa akipenda ujeshi-jeshi, anything could have happened.