Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?