Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sina cha kuongeza hapa, naona wadau washamaliza shughuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan kama wanaowakosoa wanawake kwa tabia mbaya wanaonekana wadhalilishaji basi neno la Mungu linalosema MTOTO MPUMBAVU NI MZIGO WA MAMAYE na lile la MWANAMKE MJINGA HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE,je tuseme biblia inawadharirisha wanawake!?Na bora uzi ungeanzishwa na mwanamke,ila umeanzishwa na kidume mzima,sijui hii tabia ya wanaume kujipendekeza kwa wanawake itaisha lini.
Sasa kama ni hivyo tujue wanawake ni binadamu hivyo wanasifa nzuri na mbaya.Au kama na hili linakuudhi saan mkuu,tufanye kwamba wanaume wanaoyasema mabaya ya wanawake hawana maadili na wamepotoka.Kwahyo wewe fanya kuwafundsha hao wanawake(malaika) ili wao wasije kosa maadili au kupotoka kwa kuwafanyia au kuwanenea mabaya wanaume ukiliweza hilo ndo uje sasa kutuelimisha sisi tuliopotoka.Laah!huwezi basi fanya kuwa mtazamaji wa mtanange kama sio mtifuano.Hii ni kwa pande zote wanaume kwa wanawake sawa na binadamu wengine mwanangu.
Wewe unataka kupendwa mzee mwenzangu Ebu kama kutulia "ukweli unawauma"Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Katika hoja za kipumbavu ni hoja ya ubikraSi jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Awali ni awali, hakuna awali mbaya. Men psychologically tunapenda Status, na kwa mtazamo wetu BIKRA ni sehemu ya kukupa Pride, kipitie kitabu Cha "THE WAY OF MEN" - JACK DONOVAN.Katika hoja za kipumbavu ni hoja ya ubikra
Mwanamke anaweza asiwe bikra halafu akawa wife materials
Halafu huyo bikra akaja kuwa kicheche.
Halafu hiyo bikra yenyewe baada ya kufanya mara kadhaa inakuwa kama iliyotumika miaka mitano tu
Ni wajinga wanaooa kwa ajili ya kutiana ndio wanahangaika kisha wanaokuja kulia lia hapa JF
Hata kama lakini ukweli usemwe na bila kuogopa, KUOA SINGLE MOTHER NI HATARI KWA AFYA YAKO.Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Ulichokiandika, Kaa Chinini Utafakari, Mwanamke ni Kiumbe mwingine kabisa na Viumbe Vyote.
Kama haujakutana na Matukio/ Show za Kibabe za Wanawake unaweza sema unavyoweza, Hata Hizi Ndoa. Kuna mengi wanaume wanayapitia ila watu wanakufa na Tai shingoni, mwanamke msikie tu kwa Jirani yako.
Ukitaka kufurisika Cheza na wanawake,Hata mke pia sio mtu wa kumuamini.
NOTE
Unaishi Nyoja ndani one day utakuja kuelewa kua mwanamke ni nyoka, na pia mwanamke anaushetani ndani yake.
Yakikufika hii iwe kumbukumbu yako.