Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

Kuna wanaume watu wazima ovyo wabakaji wa watoto, wababa wasiohudumia watoto wao na wanaume wasioelewa jinsia yao. Pointi yako ni ipi haswa? Sijaona hoja yako hapa
Tatizo sio kwamba wanaume wote ni watakatifu ,bali tatizo ni nyinyi wanawake kutumia kisingizio cha kudhalilishwa ili kukwepa ukweli unao wakabili.

Mfano mtu kaja kuanzisha uzi unao kemea wanaume wenye sifa hizo ulizo zitaja,je utasema ana wadhalilisha wanaume?
Maana nyinyi wanawake wa siku hizi mmekuwa mkijificha kwenye kichaka cha kudhalilishwa ili kukwepa kuambiwa ukweli.
 
Akili za kishetani ndivyo zilivyo. Achana nalo.

Uliwahi sikia Sisi Wanaume tukipondwa Kwa Baadhi ya rabi zetu mbaya tukisema sijui unamtukana hata Baba yako.
Huwezi sikia hayo.

Mwanamke kama ni mwema au siô Kahaba akisikia Mtu akisema Wanawake ni makahaba yeye anaumia Kwa namna Ipi Wakati yeye siô Kahaba?

Wanawake husema Wanaume ni Mbwa mbona Wanaume hatulalamiki. Kwa sababu tunajua wàpo Wanaume kweli ni Mbwa na wàpo ambao siô Mbwa.

Biblia inaposema Hakuna binadamu mkamilifu hivi unafikiri ni kweli hakuna Watu wakamilifu. Mbona Ayubu alikuwa mkamilifu, Yesu n.k
 
Mtu yeyote íwe ni Baba, mama, Mimi, wewe, Yule akitenda Jambo lolote ambalo ni baya anastahili kupewa maneno Mabaya, maneno ya kashfa, matusi, Kejeli n.k.

Unachotakiwa kushauri ni kuwa Mtu yeyote atende Mema ili asitukanwe

Lakini kuwa Mama au Baba haiepushi matusi kama ukifanya upumbavu.

Mama anayetenda Mambo Mema hawezi kuumia akisikia Wanawake wakitukanwa Ikiwa yeye hafanyi mambo mabaya.

So wacha mambo yaende kama yalivyo
Yaani huyu jamaa kaleta hoja ya kipuuzi kabisa ,ya kwamba kitu kikisha fanywa na mzazi wako basi ni sahihi kukihalalisha.
 
Akili za kishetani ndivyo zilivyo. Achana nalo.

Uliwahi sikia Sisi Wanaume tukipondwa Kwa Baadhi ya rabi zetu mbaya tukisema sijui unamtukana hata Baba yako.
Huwezi sikia hayo.

Mwanamke kama ni mwema au siô Kahaba akisikia Mtu akisema Wanawake ni makahaba yeye anaumia Kwa namna Ipi Wakati yeye siô Kahaba?

Wanawake husema Wanaume ni Mbwa mbona Wanaume hatulalamiki. Kwa sababu tunajua wàpo Wanaume kweli ni Mbwa na wàpo ambao siô Mbwa.

Biblia inaposema Hakuna binadamu mkamilifu hivi unafikiri ni kweli hakuna Watu wakamilifu. Mbona Ayubu alikuwa mkamilifu, Yesu n.k
Na bora uzi ungeanzishwa na mwanamke,ila umeanzishwa na kidume mzima,sijui hii tabia ya wanaume kujipendekeza kwa wanawake itaisha lini.
 
Mama zangu ,bibi zangu ,mashangazi zangu na dada zangu wanaongelewa ivyo ivyo n watu wengn kweny ukwel tuusema ata vitabu vya dini vimeainisha ivyo ni viumbe dhaifu tena tuishi navyo kwa akili na kutawaliwa
Wanawake wa kuzaz kipya wana changamoto za kufa mtu kibaya zaid zile njia za asili za kupunguza au kutatua izo changamoto (kipigo) dunia inakingia kifua na ukifny ivy unaonekea ww ni waovyo wakat wazee wa zaman waliwez kuwa control kwa kipigo angalau kulikua na unafuu
Kuhusu bikra tunaitaj bikra ila kupunguz risk ndogo ndogo na heshim kuwepo
 
Ulichokiandika, Kaa Chinini Utafakari, Mwanamke ni Kiumbe mwingine kabisa na Viumbe Vyote.
Kama haujakutana na Matukio/ Show za Kibabe za Wanawake unaweza sema unavyoweza, Hata Hizi Ndoa. Kuna mengi wanaume wanayapitia ila watu wanakufa na Tai shingoni, mwanamke msikie tu kwa Jirani yako.
Ukitaka kufurisika Cheza na wanawake,Hata mke pia sio mtu wa kumuamini.
NOTE
Unaishi Nyoja ndani one day utakuja kuelewa kua mwanamke ni nyoka, na pia mwanamke anaushetani ndani yake.
Yakikufika hii iwe kumbukumbu yako.
Bado ni mtoto mdogo huyo
 
Huna hoja. Kwani unajua namna wanawake wanavyowaelewa wanaume? Je nao wakiwa vipofu na kufanya hitimisho la jumla juu ya wanaume utajisikiaje? Kama kweli hutaki kumwamini mkeo kwanini unamwamini mama yako wakati naye ni mwanamke? Jenga hoja badala ya kurejea yale yale ya kikale.
Mkuu mi sio mtu wa kuwasema wanawake ila hapo kwenye kusema wanawake wanavyo wachukulia wanaume mbona iko wazi na wanasema wao wenyewe kila siku na ndo sababu ya kuwa na hawa feminist kila kona au mi sijaeelewa target ya jibu lako kwa mjumbe.
 
Yaani huyu jamaa kaleta hoja ya kipuuzi kabisa ,ya kwamba kitu kikisha fanywa na mzazi wako basi ni sahihi kukihalalisha.
hawa ndio wanakuja na hoja za kipuuzi mzazi hakosei MZAZI ndio nan kwan kam amezaliw n mwanadam anakosea na mzazi anawekwa chini anachanwa kwa mungu akuna laan za kipumbavu
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.

Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.

1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?

2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?

3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?

4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?

5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?

6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?

7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?

8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?

9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?

10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Ukikua utakuja kufuta hii kauli yako bata wahed!
 
Sio tu wanawake MTU yeyote anahitaji kuheshimiwa awe , Mama. Baba , Kaka au shangazi, mjomba .

Kuhusu wanawake kinachohitajika ni kuwa na constructive criticism pale MTU anapokuwa amekosea.
 
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.

Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.

1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?

2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?

3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?

4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?

5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?

6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?

7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?

8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?

9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?

10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Kwenye mitandao ya kijamii kati ya wanawake na wanaume ni kundi gani linalo ongoza kujidhalilisha?
Nipe jibu, nifunguke zaidi
 
Sikujua kuwa nawasiliana na kichaa na mpumbavu anayeweza kumuita baba yake kenge. Kumbe wewe ni msennnngeee!
KWENYE kumjibu kwa kumtukana umekosea, Ukiwa kama FATHER of ALL, hoja yako inapenya vema kwa kila mmoja. Ila ukianza kujibishana kwa matusi, kisa amekutukana, tuna mashaka na UBABA WAKO....Baba huwa na busara siku zote, hata mama akibwatuka, watoto bado BABA ana BUSARA.....be real Father....tchao...
 
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.

Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.

1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?

2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?

3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?

4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?

5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?

6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?

7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?

8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?

9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?

10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Acha kutetea maovu kwa kisingizio cha mama kwa hiyo unahamasisha wanaume waoe malaya wabambikwe watoto na waambukizwe magonjwa kwa sababu ni wanawake kama mama yake? Acha utoto
 
Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.

Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.

1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?

2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?

3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?

4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?

5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?

6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?

7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?

8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?

9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?

10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Hiyo haiondoi ukweli
 
Mwanamme wa kweli anajiamini ktk uanaume wake hahitaji kushindana wala kumshusha au kudhalilisha mwanamke ili aonekane kidume

Ukiona mwanamme kila siku yeye ni kushindana na wanawake kuwaponda ili yeye aonekane ana maadili, ujue anashida kubwa anatamani kuwa wanawake na yeye
Kama sio bikra usioe
 
Back
Top Bottom