ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Tatizo sio kwamba wanaume wote ni watakatifu ,bali tatizo ni nyinyi wanawake kutumia kisingizio cha kudhalilishwa ili kukwepa ukweli unao wakabili.Kuna wanaume watu wazima ovyo wabakaji wa watoto, wababa wasiohudumia watoto wao na wanaume wasioelewa jinsia yao. Pointi yako ni ipi haswa? Sijaona hoja yako hapa
Mfano mtu kaja kuanzisha uzi unao kemea wanaume wenye sifa hizo ulizo zitaja,je utasema ana wadhalilisha wanaume?
Maana nyinyi wanawake wa siku hizi mmekuwa mkijificha kwenye kichaka cha kudhalilishwa ili kukwepa kuambiwa ukweli.