Kabla hujatukana, kudhalilisha au kushuku wanawake, huwa unajua kuwa na mama yako ni mwanamke?

Na bora uzi ungeanzishwa na mwanamke,ila umeanzishwa na kidume mzima,sijui hii tabia ya wanaume kujipendekeza kwa wanawake itaisha lini.
Yaan kama wanaowakosoa wanawake kwa tabia mbaya wanaonekana wadhalilishaji basi neno la Mungu linalosema MTOTO MPUMBAVU NI MZIGO WA MAMAYE na lile la MWANAMKE MJINGA HUIBOMOA NYUMBA YAKE KWA MIKONO YAKE MWENYEWE,je tuseme biblia inawadharirisha wanawake!?
 
Hii ni kwa pande zote wanaume kwa wanawake sawa na binadamu wengine mwanangu.
Sasa kama ni hivyo tujue wanawake ni binadamu hivyo wanasifa nzuri na mbaya.Au kama na hili linakuudhi saan mkuu,tufanye kwamba wanaume wanaoyasema mabaya ya wanawake hawana maadili na wamepotoka.Kwahyo wewe fanya kuwafundsha hao wanawake(malaika) ili wao wasije kosa maadili au kupotoka kwa kuwafanyia au kuwanenea mabaya wanaume ukiliweza hilo ndo uje sasa kutuelimisha sisi tuliopotoka.Laah!huwezi basi fanya kuwa mtazamaji wa mtanange kama sio mtifuano.
 
Wewe unataka kupendwa mzee mwenzangu Ebu kama kutulia "ukweli unawauma"
 
kuna mademu,
Kuna wanawake
Kuna makahaba

nyuzi za humu huwa zinawaongelea sana makahaba na mademu
 
Katika hoja za kipumbavu ni hoja ya ubikra

Mwanamke anaweza asiwe bikra halafu akawa wife materials

Halafu huyo bikra akaja kuwa kicheche.

Halafu hiyo bikra yenyewe baada ya kufanya mara kadhaa inakuwa kama iliyotumika miaka mitano tu

Ni wajinga wanaooa kwa ajili ya kutiana ndio wanahangaika kisha wanaokuja kulia lia hapa JF
 
Awali ni awali, hakuna awali mbaya. Men psychologically tunapenda Status, na kwa mtazamo wetu BIKRA ni sehemu ya kukupa Pride, kipitie kitabu Cha "THE WAY OF MEN" - JACK DONOVAN.
 
Hakuna viumbe wanao nikera kama nyie wanaume na midevu yenu,mnaojipa kazi ya kutetea wanawake
Ivi umewahi kusikia wapi wanawake wakitetea wanaume
 
Hata kama lakini ukweli usemwe na bila kuogopa, KUOA SINGLE MOTHER NI HATARI KWA AFYA YAKO.
 
 
Tuheshimu wanawake. Hakuna maelezo yoyote yale yatakayohalalisha kumdhalilisha mwanamke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…