ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Tofautisha kutukana na kutoa Maoni ,wanaokamatwa wengi ni wale wanaotoa maoni.Watu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi wa zahanati yuko Serikali, mwalimu yuko Serikali, fundi wa mamlaka ya maji yuko Serikali, injinia wa Halmashauri yuko Serikali, Mtendaji wa kijiji yuko Serikali, watumishi wa wizara wapo Serikali, Mbunge yupo kwenye mfumo wa Serikali na Waziri pia ni Serikali. Kwa hiyo unaposema Serikali imefanya hivi au vile, unatakiwa kuelewa unaongelea mfumo mkubwa wenye watu wengi, na ndani ya mfumo huo kuna watu wema na wabaya, wenye misimamo tofauti na wengine wanafanya maamuzi yao wenyewe. Hata mimi niko kwenye mfumo wa Serikali lakini haimaanishi kwamba kila kinachofanywa na kila mtu ndani ya Serikali nakihusika nacho. Tatizo ni kwamba watu wengine wanaingia mitandaoni na kudhani kila kitu ni mchezo, wanatukana viongozi kwa sababu tu wanajua wako nyuma ya keyboard. Kama unaona Serikali imekosea, ikosoe kwa hoja, leta ushahidi, uliza maswali. Lakini usichanganye kukosoa na kumtukana mtu binafsi.
Mfano unaona post ya Mkuu wa Majeshi kuhusu suala la ugaidi, mtu anaingia comment na kuandika “huyu ni Mkuu wa Majeshi, msengerema” au matusi mengine. Sasa hapo unajitafutia nini? Kama sio kuchezea wembe sijui ni kitu gani. Sisema hivi kumtisha mtu wala kuhalalisha mtu yeyote kuumiza mwingine, ila tunapaswa kuelewa binadamu tunatofautiana na si kila mtu ana kiwango sawa cha kuvumilia maneno. Usidhani kwa sababu umemtukana Samia Facebook, Instagram au Jamiiforums basi umeonyesha ushujaa. Kama una hoja, sema hoja yako. Kama una ushahidi, uweke wazi. Lakini matusi ya kutafuta likes na sifa yanaweza kukuingiza kwenye matatizo ambayo hukuyatarajia. Tunaishi kwenye dunia yenye watu wa aina nyingi, na kujua hilo si jambo dogo. Chunga sana ulimi wako, maana wakati mwingine mtu anajichezea mwenyewe wembe halafu baadaye anashangaa kwa nini umemkata. Uhuru wa kukosoa ni muhimu, lakini kutumia huo uhuru kwa busara ni muhimu zaidi.
Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi nyakati sio hizi msifananishe Africa na nchi za watu waliostaraabika zamani.
kwani matusi hayajulikani ? Upuuzi hamna ulichoandika .Tofautisha kutukana na kutoa Maoni ,wanaokamatwa wengi ni wale wanaotoa maoni.
Kutukana ni kesi ya jinai ,kesi za mitandao zina sheria zake ,wakamate wapeleke mahakamani na si kutekwa na kuuawa.
Polepole alikuwa anatukana?
Kwani neno "Sengerema" lina maana gani, mi ninavyojua ni Wilaya ndani ya mkoa wa MwanzaWatu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi wa zahanati yuko Serikali, mwalimu yuko Serikali, fundi wa mamlaka ya maji yuko Serikali, injinia wa Halmashauri yuko Serikali, Mtendaji wa kijiji yuko Serikali, watumishi wa wizara wapo Serikali, Mbunge yupo kwenye mfumo wa Serikali na Waziri pia ni Serikali. Kwa hiyo unaposema Serikali imefanya hivi au vile, unatakiwa kuelewa unaongelea mfumo mkubwa wenye watu wengi, na ndani ya mfumo huo kuna watu wema na wabaya, wenye misimamo tofauti na wengine wanafanya maamuzi yao wenyewe. Hata mimi niko kwenye mfumo wa Serikali lakini haimaanishi kwamba kila kinachofanywa na kila mtu ndani ya Serikali nakihusika nacho. Tatizo ni kwamba watu wengine wanaingia mitandaoni na kudhani kila kitu ni mchezo, wanatukana viongozi kwa sababu tu wanajua wako nyuma ya keyboard. Kama unaona Serikali imekosea, ikosoe kwa hoja, leta ushahidi, uliza maswali. Lakini usichanganye kukosoa na kumtukana mtu binafsi.
Mfano unaona post ya Mkuu wa Majeshi kuhusu suala la ugaidi, mtu anaingia comment na kuandika “huyu ni Mkuu wa Majeshi, msengerema” au matusi mengine. Sasa hapo unajitafutia nini? Kama sio kuchezea wembe sijui ni kitu gani. Sisema hivi kumtisha mtu wala kuhalalisha mtu yeyote kuumiza mwingine, ila tunapaswa kuelewa binadamu tunatofautiana na si kila mtu ana kiwango sawa cha kuvumilia maneno. Usidhani kwa sababu umemtukana Samia Facebook, Instagram au Jamiiforums basi umeonyesha ushujaa. Kama una hoja, sema hoja yako. Kama una ushahidi, uweke wazi. Lakini matusi ya kutafuta likes na sifa yanaweza kukuingiza kwenye matatizo ambayo hukuyatarajia. Tunaishi kwenye dunia yenye watu wa aina nyingi, na kujua hilo si jambo dogo. Chunga sana ulimi wako, maana wakati mwingine mtu anajichezea mwenyewe wembe halafu baadaye anashangaa kwa nini umemkata. Uhuru wa kukosoa ni muhimu, lakini kutumia huo uhuru kwa busara ni muhimu zaidi.
Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi nyakati sio hizi msifananishe Africa na nchi za watu waliostaraabika zamani.
Hakuna tusi jipyaWatu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi wa zahanati yuko Serikali, mwalimu yuko Serikali, fundi wa mamlaka ya maji yuko Serikali, injinia wa Halmashauri yuko Serikali, Mtendaji wa kijiji yuko Serikali, watumishi wa wizara wapo Serikali, Mbunge yupo kwenye mfumo wa Serikali na Waziri pia ni Serikali. Kwa hiyo unaposema Serikali imefanya hivi au vile, unatakiwa kuelewa unaongelea mfumo mkubwa wenye watu wengi, na ndani ya mfumo huo kuna watu wema na wabaya, wenye misimamo tofauti na wengine wanafanya maamuzi yao wenyewe. Hata mimi niko kwenye mfumo wa Serikali lakini haimaanishi kwamba kila kinachofanywa na kila mtu ndani ya Serikali nakihusika nacho. Tatizo ni kwamba watu wengine wanaingia mitandaoni na kudhani kila kitu ni mchezo, wanatukana viongozi kwa sababu tu wanajua wako nyuma ya keyboard. Kama unaona Serikali imekosea, ikosoe kwa hoja, leta ushahidi, uliza maswali. Lakini usichanganye kukosoa na kumtukana mtu binafsi.
Mfano unaona post ya Mkuu wa Majeshi kuhusu suala la ugaidi, mtu anaingia comment na kuandika “huyu ni Mkuu wa Majeshi, msengerema” au matusi mengine. Sasa hapo unajitafutia nini? Kama sio kuchezea wembe sijui ni kitu gani. Sisema hivi kumtisha mtu wala kuhalalisha mtu yeyote kuumiza mwingine, ila tunapaswa kuelewa binadamu tunatofautiana na si kila mtu ana kiwango sawa cha kuvumilia maneno. Usidhani kwa sababu umemtukana Samia Facebook, Instagram au Jamiiforums basi umeonyesha ushujaa. Kama una hoja, sema hoja yako. Kama una ushahidi, uweke wazi. Lakini matusi ya kutafuta likes na sifa yanaweza kukuingiza kwenye matatizo ambayo hukuyatarajia. Tunaishi kwenye dunia yenye watu wa aina nyingi, na kujua hilo si jambo dogo. Chunga sana ulimi wako, maana wakati mwingine mtu anajichezea mwenyewe wembe halafu baadaye anashangaa kwa nini umemkata. Uhuru wa kukosoa ni muhimu, lakini kutumia huo uhuru kwa busara ni muhimu zaidi.
Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi nyakati sio hizi msifananishe Africa na nchi za watu waliostaraabika zamani.
Tunaposema serikali kwa TZ, na, Africa, in a maana tofauti na nchi kama USA, UK, Scandinavia, nk,Watu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi wa zahanati yuko Serikali, mwalimu yuko Serikali, fundi wa mamlaka ya maji yuko Serikali, injinia wa Halmashauri yuko Serikali, Mtendaji wa kijiji yuko Serikali, watumishi wa wizara wapo Serikali, Mbunge yupo kwenye mfumo wa Serikali na Waziri pia ni Serikali. Kwa hiyo unaposema Serikali imefanya hivi au vile, unatakiwa kuelewa unaongelea mfumo mkubwa wenye watu wengi, na ndani ya mfumo huo kuna watu wema na wabaya, wenye misimamo tofauti na wengine wanafanya maamuzi yao wenyewe. Hata mimi niko kwenye mfumo wa Serikali lakini haimaanishi kwamba kila kinachofanywa na kila mtu ndani ya Serikali nakihusika nacho. Tatizo ni kwamba watu wengine wanaingia mitandaoni na kudhani kila kitu ni mchezo, wanatukana viongozi kwa sababu tu wanajua wako nyuma ya keyboard. Kama unaona Serikali imekosea, ikosoe kwa hoja, leta ushahidi, uliza maswali. Lakini usichanganye kukosoa na kumtukana mtu binafsi.
Mfano unaona post ya Mkuu wa Majeshi kuhusu suala la ugaidi, mtu anaingia comment na kuandika “huyu ni Mkuu wa Majeshi, msengerema” au matusi mengine. Sasa hapo unajitafutia nini? Kama sio kuchezea wembe sijui ni kitu gani. Sisema hivi kumtisha mtu wala kuhalalisha mtu yeyote kuumiza mwingine, ila tunapaswa kuelewa binadamu tunatofautiana na si kila mtu ana kiwango sawa cha kuvumilia maneno. Usidhani kwa sababu umemtukana Samia Facebook, Instagram au Jamiiforums basi umeonyesha ushujaa. Kama una hoja, sema hoja yako. Kama una ushahidi, uweke wazi. Lakini matusi ya kutafuta likes na sifa yanaweza kukuingiza kwenye matatizo ambayo hukuyatarajia. Tunaishi kwenye dunia yenye watu wa aina nyingi, na kujua hilo si jambo dogo. Chunga sana ulimi wako, maana wakati mwingine mtu anajichezea mwenyewe wembe halafu baadaye anashangaa kwa nini umemkata. Uhuru wa kukosoa ni muhimu, lakini kutumia huo uhuru kwa busara ni muhimu zaidi.
Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi nyakati sio hizi msifananishe Africa na nchi za watu waliostaraabika zamani.
mrombo, mmarangu, mmatumbi, mkenya, ...huyu ni Mkuu wa Majeshi, msengerema
Kwani kusema "huyu mkuu wa majeshi naye msengerema tu" kwa tafsiri yako hili ni tusi...?kwani matusi hayajulikani ? Upuuzi hamna ulichoandika .
Kamuulize baba na mama yako kwanza .Kwani kusema "huyu mkuu wa majeshi naye msengerema tu" kwa tafsiri yako hili ni tusi...?
Tafsiri ya tusi kutoka ktk kauli fulani ya mtu ni ya mtu mwenyewe..
Kama wewe umeona ni tusi, thibitisha hivyo kwa kwenda mahakamani kupata tafsiri iwapo hilo ni tusi au kauli tu ya kuudhi..
Silaha kuu katika maisha haya hapa duniani ni KUVUMILIANA. Ukikosa Roho wa uvumilivu, itafika wakati hata ukiwa usingizini utakuwa unahisi unatukanwa tu, na kila mtu anayekusemesha, utamuona anakutukana...
Vumilia, focus kwenye mambo yako, acha mambo mengine yapitie sikio la kulia yatokee sikio la kushoto...
Lakini la mwisho ili kuiondoa hiyo "guilty conscious", TUEPUKE KUTENDEANA MABAYA. TUEPUKE TAMAA YA KUJIPATIA MADARAKA NA KUJILIMBIZIA MALI KWA NJIA HARAMU IKIWEMO KUCHUKUA VISIVYO VYAKO. TUPENDANE. MUONE MWENZIO KAMA WEWE. KILA MMOJA AWE MLINZI WA MWENZAKE. Ni kwa namna hii maisha yatakuwa smooth sana..
Fala wewe 🖕.Watu wengi wanaolalamikia Serikali wakati mwingine hawajui Serikali ni kitu gani. Mnachanganya mambo. Serikali si Rais peke yake wala Waziri peke yake, ni mfumo mkubwa sana wenye watu wengi. Nesi wa zahanati yuko Serikali, mwalimu yuko Serikali, fundi wa mamlaka ya maji yuko Serikali, injinia wa Halmashauri yuko Serikali, Mtendaji wa kijiji yuko Serikali, watumishi wa wizara wapo Serikali, Mbunge yupo kwenye mfumo wa Serikali na Waziri pia ni Serikali. Kwa hiyo unaposema Serikali imefanya hivi au vile, unatakiwa kuelewa unaongelea mfumo mkubwa wenye watu wengi, na ndani ya mfumo huo kuna watu wema na wabaya, wenye misimamo tofauti na wengine wanafanya maamuzi yao wenyewe. Hata mimi niko kwenye mfumo wa Serikali lakini haimaanishi kwamba kila kinachofanywa na kila mtu ndani ya Serikali nakihusika nacho. Tatizo ni kwamba watu wengine wanaingia mitandaoni na kudhani kila kitu ni mchezo, wanatukana viongozi kwa sababu tu wanajua wako nyuma ya keyboard. Kama unaona Serikali imekosea, ikosoe kwa hoja, leta ushahidi, uliza maswali. Lakini usichanganye kukosoa na kumtukana mtu binafsi.