Kabla hujatukana Serikali, kwanza elewa Serikali ni nini?

Ameenda kinyume na kiapo chake kuna viapo vya USIRI DAIMA yani hata ikatokea ukafa Gwajima akakufufua hutakiwi kutoa SIRI na kiapo hicho unakula ukiwa na akili zako timamu
Polepole alikua anatoa siri za serikali au siri za kundi la wana mtandao ndani ya CCM?

Rostam ana cheo gani ndani ya serikali?
 
Sasa kama serikali yenyewe hujui maana yake huoni unachoandika hapa ni mwendelezo uleule wa kuitukana serikali?. Anyway serikali Ina msemaji wake Mr Msigwa Wacha kuchukua kazi zisizokuhusu, pambana kulisha wanaokutegemea men.
 
Polepole alikua anatoa siri za serikali au siri za kundi la wana mtandao ndani ya CCM?

Rostam ana cheo gani ndani ya serikali?
Taarifa hizo alizipata akiwa wapi ? Kama zilikuwa kutokana na majukumu yake na zikawa vetted SIRI basi wanaishia hapo
 
Wewe nawe unakuwaga mjinga sana, hiyo kazi ya kuajiriwa na serikali inakupa wendawazimu?
 
Uko sahihi,
Serikali ni hao watawala na wakuu wao wa majeshi na udhibiti.

Daktari, Nesi, Walimu, Wafanyakazi wa SGR, ATCL na waajiriwa wengine wasiohusika na kutawala sio serikali.
 
Huyu mtu kaongea UKWELI haswa! Sijui tutakavyomjibu ila ni wazo linaloweza kuokoa watu wengi dhidi ya kiitwacho 'HASIRA DHIDI YA SERIKALI'.
Tuwaze hivi, rais anateua watu mbalimbali na kama anaondoka basi ni kawaida hata wateule wake wengi wanaondoka, vp ikiwa wataona hatari ya anayewateua kuondoa, hawatamlinda kwa vyovyote ili waendelee kuwa salama ktk teuzi zao?
Binafsi umenisaidia kuoanza kuona hili dude 'serikali'




 

Nashukuru wewe umenielewa mkuu mimi şişemi kwamba watu wawe waoga kudai haki zao ila waangalie maneno ya kuongea hasa kwenye social network kwa sababu unaweza kufanyiwa ubaya na mtu ambaye hata hajulikani ila yeye analinda tu nafasi yake mwisho wa siku wewe utalaumu serikali kwa ujumla lakini serikali sio binadamu au siku kitu kimoja kinaweza ku feel majonzi yako..hata afisa madini aliyeko mbeya pia yuko katika serikali ila wewe umeumizwa na afisa aliye moshi je unadhani serikali nzima ina hisia za kujua kiasi gani umeumizwa?????
You have to think twice sasa mtu kweli hata kama ndo tupo kwenye mapambano unakwenda kumtukana mkuu wa majeshi haya tuseme vijana wake walewe waamue tu wao kukutafuta kukuumiza unadhani nani atajali serikalini na ndo ushapoteza
 
"Hivi unaamini kama kuna watu tu katika mfumo wamelishwa sumu kiasi kwamba wanaweza kuona umemtukana kiongozi basi wakaamua tu kujichukulia mambo wanelewa zao pombe wakaamua tu acha tule sahani moja na huyu dogo ukajikuta matatizoni na hapo hata hawajatumwa na huyo kiongozi"
Tumkate wee, ila ona UKWELI huu, na mangapi yanafanyika hivi!? Sio mifumo rasmi inayoshughulikia waitwao wakorofi.
 
Naunga MKONO hoja zotee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…