Kabla Mama hajamaliza Mda wake kingai atapandishwa Cheo

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Kwa ile kauli aliyoitoa Kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa..

Yale hayakua maneno ya kingai tu bali ya Samia na Serikali yake ya CCM.

Na kwa kua Kingai amejitoa Mhanga kwenda Mahakamani na IGP kukwepa kwa kisingizo cha kusema yupo nje ya Nchi,

Malipo ni Kingai atapandishwa cheo..chukueni Maneno haya Kingai kabla ya 2030 hatakua DCI.

Tusishangae akawa IGP ajae.

Hadi tuisome namba.
 
Kwa ile kauli aliyoitoa kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa..

Mama ndo nani?
 
Sidhani kama amesema hivyo. Ingekuwa vyema muandishi ukaenda kumuhoji ili ulete taarifa iliyonyooka.

Amekubali maneno ya kusemewa na kutoka kwa DCI lakini alikataa ya wakili wa upande wa mashitaka
 
ok.🐒
 
Kama ya kusemewa umeona wapi yamekanushwa??
 
Nyakati kwenye siasa zinaenda Kwa Kasi sana!!

Hivi nchimbi amekua ofisini kwa miezi mingapi!!?
Nani ajuaye kesho!

Tatizo la CCM yetu ya sasa,tunatumia hisia zaidi kuliko akili!
Lisu tumekuza umaarufu wake duniani kuliko hata mwenyekiti wetu wa chama!!kesho kutwa napokea tuzo kubwa ambayo sidhani kama Kuna mwanaccm anaweza kuipata kwa miaka kumi ijayo!!

At least tuuone utu kwenye kauli mbiu yetu ya ilani

Kazi na utu,tusonge mbele!
 
Akili za CCM tunawazaga teuzi na kupandishwa vyeo tu!! Ni kama bashite anavyopigania jezi mwisho nae atapandishwa cheo
 
Malipo ni Kingai atapandishwa cheo..chukueni Maneno haya Kingai kabla ya 2030 hatakua DCI.

Tusishangae akawa IGP ajae.
Kwenye Serikali iliyofitinika, Lolote linaweza kutokea.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.

Tujipe muda, Mawimbi ya Bahari yakitulia, tutajua nani alikuwa anaogelea utupu.
 
Nachukia sana nikiona mtu anamwita mwanamke muuaji mkubwa kuwahi kutokea Afrika eti “Mama”
 
Back
Top Bottom