THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Mama ndo nani?Kwa ile kauli aliyoitoa kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa..
Yale hayakua maneno ya kingai tu bali ya Samia na Serikali yake ya CCM.
Na kwa kua Kingai amejitoa Mhanga kwenda Mahakamani na IGP kukwepa kwa kisingizo cha kusema yupo nje ya Nchi,
Malipo ni Kingai atapandishwa cheo..chukueni Maneno haya Kingai kabla ya 2030 hatakua DCI.
Tusishangae akawa IGP ajae.
Hadi tuisome namba.
ok.🐒Kwa ile kauli aliyoitoa kingai leo, Na kwa Elimu na Ufahamu wa Mwongoza njia wetu natumai amefurahi sana ile kusema kua atafurahi Lissu akikutwa na kosa ana akahukumiwa..
Yale hayakua maneno ya kingai tu bali ya Samia na Serikali yake ya CCM.
Na kwa kua Kingai amejitoa Mhanga kwenda Mahakamani na IGP kukwepa kwa kisingizo cha kusema yupo nje ya Nchi,
Malipo ni Kingai atapandishwa cheo..chukueni Maneno haya Kingai kabla ya 2030 hatakua DCI.
Tusishangae akawa IGP ajae.
Hadi tuisome namba.
Kama ya kusemewa umeona wapi yamekanushwa??Sidhani kama amesema hivyo. Ingekuwa vyema muandishi ukaenda kumuhoji ili ulete taarifa iliyonyooka.
Amekubali maneno ya kusemewa na kutoka kwa DCI lakini alikataa ya wakili wa upande wa mashitaka
Sana, mnyonge mnyongeni Jinsi alivyoshugulikia Kesi ya Ugaidi ya Mbowe namna vijana wake akina Mahita na George walivyofanya process za upelelezi CP Kingai alitekeleza kazi yake kwa weledi mkubwaKingai Mtu makini.
Kwenye Serikali iliyofitinika, Lolote linaweza kutokea.Malipo ni Kingai atapandishwa cheo..chukueni Maneno haya Kingai kabla ya 2030 hatakua DCI.
Tusishangae akawa IGP ajae.