Wala hakuna haja ya kumuonesha kuwa ana mchepuko, yeye aendelee na maisha aliyokuwa akiyaishi kabla ya mchepuko, cha muhimu anakuwa anajua furaha na amani yake ni wapi anaipata.acha kulia....kama vipichukua mchepuko ajue
Hagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.Single mother wanakuwaga moto sana sema ndiyo ivo ukiishi nae ndiyo unakuja kupata sababu za kwanini ulimkuta single
Mzee wa mbususu kumbe una jiko kabisa na hausemi ?Hagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.
Ila hamna kitu kibaya nisichopenda kama mke namtoa out alafu anasema baba dorothy unajua hii hela tungeweza jenga banda la kuku. Sasa wee mie nimefurahi nataka kue joy na wewe my wife mambo ya banda ya kuku ya nini? Pesa natafhta mie na nataka tutumie wote then unaanza waza kuku. Ah mie mke wangu nilimwambia huo ujinga sitaki
Jiko nakosaje mwanawane wakati hela zipoMzee wa mbususu kumbe una jiko kabisa na hausemi ?
Anhaa bagosha 😀😀
Katika pitapita zangu,nilingia kwenye mahusiano na binti mmoja,alikuwa na tabia za hovyohovyo tu,nkawa nafanya sana bidii kumfanya awe ninavyotaka mimi awe,😂😂😂🙌🙌asee nlitambua lile lilikuwa ni kosa kubwa sana nilifanya,hakuna picha nliacha kuona!!Asante kwa ushauri kaka
Ni kweli nimejaribu mara nyingi kumbadilisha ili awe yule ninayemtaka. Mwanzoni alikuwa anaelewa na anajitahidi kubadilika ila kadiri miaka inavyosogea mambo yanazidi kuwa mabaya... Sijui ndiyo kanizoea sana
Ila labda nianze tena kumbadilisha kama zamani maana nilishamkatia tamaa
Hongera Sana bro ,itunze hiyo mama watotoJiko nakosaje mwanawane wakati hela zipo
Tatizo mbona unalijua mkuuNipo kwenye ndoa huu mwaka wa sita na nilioa single mother ila kwa yanayoendelea najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya mustakabari wa ndoa yangu
KABLA YA NDOA
Mwanamke alikuwa ananielewa sana, ananisikiliza, ananiheshimu, ni mwepesi kusema samahani
Mwepesi sana kutoka nae out na ni kama alikuwa anaenjoy kiasi flani
Kitandani hakuwa haba, kujituma kama kote mpaka nakuwa nammiss kila nikiwa mbali nae, tulikuwa na uwezo kugegedana popote pale tunapojihisi tupo peke etu, iwe ofisini, garini, dkn, jikoni, sebuleni fainali chumbani ndiyo balaa zito
Nazimiss sana nyakati zile
BAADA YA NDOA
Mwanzo haukuwa mbaya sana wala mzuri sana ila ni vile unajipa moyo kwamba yanapita tu
Kusema samahani ni mpaka tuwe tunakaribia kuachana
Nikimuomba tutoke out haoneshi kufurahia tena kama zamani lakini pia hata akikubali mpo maeneo lakini akili yake ipo nyumbani, ni kama anatoka kuniridhisha mimi na haachi kulalamika kwamba pesa inaharibika, wakati mara nyingi anasisitiza tutume hela kwa ndugu zake na tunatuma na huwa halalamiki kwamba tunaharibu pesa
Penzi ni kama nimesusiwa(D2) nikimuuliza mbona hunyumbuliki au kujituma kama enzi zile anasema hana mazoezi. Na mimi nikimpotezea anaanza kulalamika eti sina hisia nae. Kiufupi anataka mie nifanye kila kitu(inaboa). Kiukweli kuna muda nakuwa na hamu sana ila kumfikia ndiyo nashindwa mpk natamani kujichukulia sheria mkononi
Nimeshaongea nae sana kuhusu tofauti zetu ila hakuna linalobadilika moja kwa moja. Kwa sasa namezea japo naumia ndani kwa ndani
Kitu kingine nimekuja kujua kwamba ni mkali sana hasa kwa watoto kiasi mpaka najisikia vibaya. Kwake yeye hakuna mtu anayejua zaidi yake.
Najikuta mpweke zaidi kuliko nilivyokuwa mpweke kabla sijaoa. Na kabla sijaoa vita yangu kubwa ilikuwa kujiweka vizuri kiuchumi ila baada ya ndoa nahisi nimejiongezea vita nyingine tena kubwa kuliko ile niliyokuwa napigana nayo kwa kipindi kirefu
Nikisema bado nampenda nitakuwa ninaudanganya moyo wangu unless naendelea tu kuishi nae kwa sababu ya watoto na heshima niliyojijengea kwa jamii ila nawaza mpaka lini nitaishi maisha haya
Taasisi ya ndoa ni ya wachache sisi wengine tumedandia tu na ndiyo zinatutafuna. NACHOMOKAJE HAPA? View attachment 3156830
Mwamba kama mwamba... Nimekuelewa sanaHagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.
Ila hamna kitu kibaya nisichopenda kama mke namtoa out alafu anasema baba dorothy unajua hii hela tungeweza jenga banda la kuku. Sasa wee mie nimefurahi nataka kue joy na wewe my wife mambo ya banda ya kuku ya nini? Pesa natafhta mie na nataka tutumie wote then unaanza waza kuku. Ah mie mke wangu nilimwambia huo ujinga sitaki
Ni rahisi sana kuzungumza ila kiuhalisia ni kazi ngumu mno... Nadhani ni moja ya kosa pia nililojaribu kulifanya kwa kipindi chote hiki mpk naleta huu uzi kwenuKatika pitapita zangu,nilingia kwenye mahusiano na binti mmoja,alikuwa na tabia za hovyohovyo tu,nkawa nafanya sana bidii kumfanya awe ninavyotaka mimi awe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]asee nlitambua lile lilikuwa ni kosa kubwa sana nilifanya,hakuna picha nliacha kuona!!
Kumfanya mtu awe unavyotaka wewe kuna gharama kubwa sana ndani yake. Kuuubwa mno!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hii kwa wote wanaoteseka na ndoa
NDOA NYINGI KWA SASA ZIMEVAA CHUPI KICHWANI HIVYO UCHAGUE KUKIMBIA AU IKUKAUSHE DAMU na sababu kuu ni kuwa wanawake wametibuka kutokana na magunzo ya Instagram na Tik Tok so kaka,baba usijione kama kuna gundu hata huku nilipo moto unawaka.
Sawa kuna wakati unaweza ukaniona dhaifu sikatai ila mkuu usiombe yakukute, sema ni vile binadamu hatufanani. Kuna wanawake ni wababe hujapata ona na ukianza kuishi nae hakuna rangi utaacha onaWewe ni dhaifu,
kati ya wewe na yeye nani mwanaume,
Hebu weka order kama baba mwenye nyumba
We huoni hizi thread zimekuwa nyingi watu wanapigana matukio kichizi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Haya mkubwa maana imebidi nicheke tu
Kwa hiyo kila mtu analia
Mwanamke kabla ya kutaka kumuoa hakikisha unajua past yake, familia yake ipoje! Mahusiano na wazazi wake yapoje na marafiki zake wapoje!Kama hapo kwenye kiburi na ujuaji ndio usiseme kabisa...
Kuna TULIA ACKSON pia.Tulia babe!