Kabla na baada ya ndoa

Kabla na baada ya ndoa

acha kulia....kama vipichukua mchepuko ajue
Wala hakuna haja ya kumuonesha kuwa ana mchepuko, yeye aendelee na maisha aliyokuwa akiyaishi kabla ya mchepuko, cha muhimu anakuwa anajua furaha na amani yake ni wapi anaipata.

Akionesha kuwa ana mchepuko ndani hakutakalika.
 
Ukichukua kioo ukikiweka mbele yako, yule unayemwona ni nani?

Huyo unayemwona hakikishwa unambadilisha yeye kwanza ndio mkeo nae ataona mabadiliko nakuamua kubadilika


Kama ua zuri livutialo, kipepeo kama anapita zake akaliona ua hilo, nilazima aje atue hapo kwenye hilo ua. Ila kama ua limenyauka kipepeo huyo wala hataweza kuzungusha shingo yake kwa mara nyingine kuangalia ua hilo....


Haya uliyoandika ni matokeo katika chanzo unachokijua. Badilisha chanzo then utaona matokeo
 
Single mother wanakuwaga moto sana sema ndiyo ivo ukiishi nae ndiyo unakuja kupata sababu za kwanini ulimkuta single
Hagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.

Ila hamna kitu kibaya nisichopenda kama mke namtoa out alafu anasema baba dorothy unajua hii hela tungeweza jenga banda la kuku. Sasa wee mie nimefurahi nataka kue joy na wewe my wife mambo ya banda ya kuku ya nini? Pesa natafhta mie na nataka tutumie wote then unaanza waza kuku. Ah mie mke wangu nilimwambia huo ujinga sitaki
 
Hagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.

Ila hamna kitu kibaya nisichopenda kama mke namtoa out alafu anasema baba dorothy unajua hii hela tungeweza jenga banda la kuku. Sasa wee mie nimefurahi nataka kue joy na wewe my wife mambo ya banda ya kuku ya nini? Pesa natafhta mie na nataka tutumie wote then unaanza waza kuku. Ah mie mke wangu nilimwambia huo ujinga sitaki
Mzee wa mbususu kumbe una jiko kabisa na hausemi ?
Anhaa bagosha 😀😀
 
Asante kwa ushauri kaka

Ni kweli nimejaribu mara nyingi kumbadilisha ili awe yule ninayemtaka. Mwanzoni alikuwa anaelewa na anajitahidi kubadilika ila kadiri miaka inavyosogea mambo yanazidi kuwa mabaya... Sijui ndiyo kanizoea sana

Ila labda nianze tena kumbadilisha kama zamani maana nilishamkatia tamaa
Katika pitapita zangu,nilingia kwenye mahusiano na binti mmoja,alikuwa na tabia za hovyohovyo tu,nkawa nafanya sana bidii kumfanya awe ninavyotaka mimi awe,😂😂😂🙌🙌asee nlitambua lile lilikuwa ni kosa kubwa sana nilifanya,hakuna picha nliacha kuona!!

Kumfanya mtu awe unavyotaka wewe kuna gharama kubwa sana ndani yake. Kuuubwa mno!
 
Hii kwa wote wanaoteseka na ndoa
NDOA NYINGI KWA SASA ZIMEVAA CHUPI KICHWANI HIVYO UCHAGUE KUKIMBIA AU IKUKAUSHE DAMU na sababu kuu ni kuwa wanawake wametibuka kutokana na mafunzo ya Instagram na Tik Tok so kaka,baba usijione kama kuna gundu hata huku nilipo moto unawaka.
 
Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa sita na nilioa single mother ila kwa yanayoendelea najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya mustakabari wa ndoa yangu

KABLA YA NDOA
Mwanamke alikuwa ananielewa sana, ananisikiliza, ananiheshimu, ni mwepesi kusema samahani

Mwepesi sana kutoka nae out na ni kama alikuwa anaenjoy kiasi flani

Kitandani hakuwa haba, kujituma kama kote mpaka nakuwa nammiss kila nikiwa mbali nae, tulikuwa na uwezo kugegedana popote pale tunapojihisi tupo peke etu, iwe ofisini, garini, dkn, jikoni, sebuleni fainali chumbani ndiyo balaa zito

Nazimiss sana nyakati zile

BAADA YA NDOA
Mwanzo haukuwa mbaya sana wala mzuri sana ila ni vile unajipa moyo kwamba yanapita tu

Kusema samahani ni mpaka tuwe tunakaribia kuachana

Nikimuomba tutoke out haoneshi kufurahia tena kama zamani lakini pia hata akikubali mpo maeneo lakini akili yake ipo nyumbani, ni kama anatoka kuniridhisha mimi na haachi kulalamika kwamba pesa inaharibika, wakati mara nyingi anasisitiza tutume hela kwa ndugu zake na tunatuma na huwa halalamiki kwamba tunaharibu pesa

Penzi ni kama nimesusiwa(D2) nikimuuliza mbona hunyumbuliki au kujituma kama enzi zile anasema hana mazoezi. Na mimi nikimpotezea anaanza kulalamika eti sina hisia nae. Kiufupi anataka mie nifanye kila kitu(inaboa). Kiukweli kuna muda nakuwa na hamu sana ila kumfikia ndiyo nashindwa mpk natamani kujichukulia sheria mkononi

Nimeshaongea nae sana kuhusu tofauti zetu ila hakuna linalobadilika moja kwa moja. Kwa sasa namezea japo naumia ndani kwa ndani

Kitu kingine nimekuja kujua kwamba ni mkali sana hasa kwa watoto kiasi mpaka najisikia vibaya. Kwake yeye hakuna mtu anayejua zaidi yake.

Najikuta mpweke zaidi kuliko nilivyokuwa mpweke kabla sijaoa. Na kabla sijaoa vita yangu kubwa ilikuwa kujiweka vizuri kiuchumi ila baada ya ndoa nahisi nimejiongezea vita nyingine tena kubwa kuliko ile niliyokuwa napigana nayo kwa kipindi kirefu

Nikisema bado nampenda nitakuwa ninaudanganya moyo wangu unless naendelea tu kuishi nae kwa sababu ya watoto na heshima niliyojijengea kwa jamii ila nawaza mpaka lini nitaishi maisha haya

Taasisi ya ndoa ni ya wachache sisi wengine tumedandia tu na ndiyo zinatutafuna. NACHOMOKAJE HAPA? View attachment 3156830
Tatizo mbona unalijua mkuu
 
Hagari mbususu zao tamu kweli kweli mwanawane acha tuu mie aikulaumu kuingia mazima. Ni sie tuu wazee wa cuba ndio tunaweza gegeda single maza na tusizame mazimaaa.

Ila hamna kitu kibaya nisichopenda kama mke namtoa out alafu anasema baba dorothy unajua hii hela tungeweza jenga banda la kuku. Sasa wee mie nimefurahi nataka kue joy na wewe my wife mambo ya banda ya kuku ya nini? Pesa natafhta mie na nataka tutumie wote then unaanza waza kuku. Ah mie mke wangu nilimwambia huo ujinga sitaki
Mwamba kama mwamba... Nimekuelewa sana
 
Katika pitapita zangu,nilingia kwenye mahusiano na binti mmoja,alikuwa na tabia za hovyohovyo tu,nkawa nafanya sana bidii kumfanya awe ninavyotaka mimi awe,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]asee nlitambua lile lilikuwa ni kosa kubwa sana nilifanya,hakuna picha nliacha kuona!!

Kumfanya mtu awe unavyotaka wewe kuna gharama kubwa sana ndani yake. Kuuubwa mno!
Ni rahisi sana kuzungumza ila kiuhalisia ni kazi ngumu mno... Nadhani ni moja ya kosa pia nililojaribu kulifanya kwa kipindi chote hiki mpk naleta huu uzi kwenu

Mimi kama kichwa cha familia natakiwa kuleta uelekeo chanya wa familia na wakaniheshimu. Ujuaji wa mwanamke sasa ni shida... Nikimzidi kwa hoja anaishia kulia mpk unabaki unajiuliza shida iko wapi.

Kinachonikera zaidi ni mgumu sana kuomba msamaha... Mpaka tubishane sana au niamua kureact kwa vitendo ndiyo samahani inakuja baada ya kuzunguka sana
 
Hii kwa wote wanaoteseka na ndoa
NDOA NYINGI KWA SASA ZIMEVAA CHUPI KICHWANI HIVYO UCHAGUE KUKIMBIA AU IKUKAUSHE DAMU na sababu kuu ni kuwa wanawake wametibuka kutokana na magunzo ya Instagram na Tik Tok so kaka,baba usijione kama kuna gundu hata huku nilipo moto unawaka.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Haya mkubwa maana imebidi nicheke tu

Kwa hiyo kila mtu analia
 
Wewe ni dhaifu,
kati ya wewe na yeye nani mwanaume,
Hebu weka order kama baba mwenye nyumba
Sawa kuna wakati unaweza ukaniona dhaifu sikatai ila mkuu usiombe yakukute, sema ni vile binadamu hatufanani. Kuna wanawake ni wababe hujapata ona na ukianza kuishi nae hakuna rangi utaacha ona
 
Kama hapo kwenye kiburi na ujuaji ndio usiseme kabisa...
Mwanamke kabla ya kutaka kumuoa hakikisha unajua past yake, familia yake ipoje! Mahusiano na wazazi wake yapoje na marafiki zake wapoje!

Ukikwama hapo utaangukia pabaya!
 
Back
Top Bottom