Kabla na baada ya ndoa

Mkuu nashindwa kusema huyo mwanamke hakufai kwa sababu binafsi sijaona jambo kubwa kama walivyo single mama wengine

1. Mkitoka out anasema mnaharibu pesa. Mkuu sisi sote tunataka wanawake wa aina hii na hatuwapati. Wanawake wenye uchungu na kidogo tunachokipata. Wanawake wanaotaman tutumze vipato vyetu kwa manufaa ya familia.

2. Kunyumbulika kitandani. Ninachojua mapenzi yote huwa matamu mwanzoni baadae huwa kawaida tu na kubaki mazoea ya huyu ni mke wangu. Miaka situ mkuu si haba, sio rahisi show ikabaki ileile. Ushauri jaribu kumtoa out hata wiki mwende viwanja kulala hoteli japo anasema pesa inapotea ila naweza kupata vihisia vipya.

3. Ukali kwa watoto. Mkuu kama hakukalipii wewe anakalipia watoto wengu huyo kama ana kosa ni dogo sana. Wamama wengi wana fail kwenye malezi kwa sababu sio wakali kwa watoto. Mtoto anakosea ila mama yupo “junior nitakuchapa” mtoto anakua ovyo ovyo tu.

Mkuu kero kubwa za single mama ni kibuli, jeuri na kupasha viporo na wazazi wenzao kitu ambacho huyo wako hujasema kama anavyo. Mkuu komaa nae atakaa sawa tu. Sikuahauri kumuacha
 
We huoni hizi thread zimekuwa nyingi watu wanapigana matukio kichizi
Hata mimi naona mkuu ndiyo maana nikaona nisilaze damu huenda nami nimeandaliwa wadau kama wewe mje mniokoe kwenye hiki kisanga
 
Mwanamke kabla ya kutaka kumuoa hakikisha unajua past yake, familia yake ipoje! Mahusiano na wazazi wake yapoje na marafiki zake wapoje!

Ukikwama hapo utaangukia pabaya!
Hayo sikuyazingatia wakati naanza... Ndiyo yanayonigharimu... Basi tena, nimejaa kwenye mfumo
 
Ni kweli, hata sipingani na wewe... Na hilo ndiyo limenigharimu sana.... Single mothers wanakuja na vitu special sana unapoanza nae mpk unajikuta unasahau kuzingatia mambo ya msingi. Dah ila ndiyo napambana
 
[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Mkuu hawa wenzetu wanapitia Past ngumu sana ambazo zinaacha makovu kwenye mioyo yao.

Wewe ndio Dawa yake. Be patient hui mwaka mmoja sio mkubwa
Kuwa dawa yake ndiyo tatizo maana unaanza na mtu unahisi kama mko pamoja kumbe yeye anakuchukulia kama kipoozeo kwa masaibu yaliyomkuta hapa napo pana shida, sijui kama na huyu wangu alikuwa na mtazamo huo ila ni shida tupu
 
Pumbavu.

Hustahili ushauri bali makofi ya kelbu mpaka akili yako izibuke.

Tulishasema single Maza sio wa kuoa.

Hamzingatii.

Mkishapigwa na vitu vizito huko, mnakuja hapa kulia lia na kuomba ushauri.

Sasa, komaa na huyo single Maza mpaka akuue.

Ufe uzikwe na ujinga wako wa kutozingatia maelekezo ya vikao vya wanaume.
 
Yaani wewe hapo ndiyo umeingia mpaka ndani, ni kama umeona lifestyle ninayoishi nayo... Wkt naanza nae niliona kabisa huyu ndiye niliyepewa na Mungu, nikazama kwa hisia zaidi kiasi kwamba changu chake halafu chake chake[emoji57] kuna mali nilimmilikisha na hilo ndilo linalonigharimu... Nikiamua kuachana nae inabidi nikubali kuanza upya... Mambo ni mengi sana ila ushauri wako nimeuelewa sana
 
Kwenye kikao cha mwisho cha wanaume nahisi sikuhudhuria, nastahili hayo yote usemayo mkuu ila kiukweli nimechoka, moyo umechoka, unauma
 
Mie sijawahukumu single mothers wengine... Nimemuhukumu huyu wangu. By the way nilivyoanza nae alikuwa material kwelikweli nikafunika kombe... Ila weeee
Natafuta Ajira and mockers njooni Mtandike huyu jamaa bakora.

Maana, Hazingatii ushauri wa wanaume.

Kila siku tunasema, Kataa single Maza, Single Maza ni mke wa mtu. Na hata kama mmewe alikufa, lazima uthibitishe kwa kuona death certificate na kaburi uonyeshwe ulione.

Mtajifunza lini?
 
Pole sana.
Mtangulize Mungu
 
Very good, umeoa single Maza.

Siku alipo badilika, ulikomaa nae pia
Kumwelimisha, na una bahati alibadilika. Vizuri.

Shida ni kuoa single Maza wakati unajua kabisa anaweza kukubadilikia, Halafu akisha kubadilikia badala ya kukomaa nae, Mtu kama huyu mleta mada anaanza kulia lia kuomba ushauri.

Wakati tangu mwanzoni alijua kabisa anaona single maza.

Yani mtu akisha amua kuvaa bomu, Ajue kabisa muda wowote likilipuka, Atakomaa nalo.

Na ajue namna ya kukabiliana nalo.

Sio kuanza kuomba ushauri.
 
Nilihudhuria kwenye mazishi ya mzazi mwenzie ila haiondoi ukweli ya kwamba nimezingua... Waje tu wanipe bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…