Kabla na baada ya ndoa

Kabla na baada ya ndoa

Unayopitia yananiumiza haswa maana Mimi nilitemwa ila kiuchumi nikarudi kuzimu japo sio single mother .

Natamani uigize maisha ya kuishi naye hivyo hivyo huku ukibadilisha umiliki wa vitu na pia ukificha hela ,ikifika hela ambayo unaona hata mkiachana mkagawana Mali bado utaishi vizuri bwaga manyanga Kaka .

Fanya kuanza kukusanya taratibu bora umuongopee kwenye baadhi ya vitu ila vipige bei kimya kimya ,bila hivyo nakuona ukija kuwa mgonjwa na mwenye mastress muda wote .

Pole Sana ,chukua hatua
 
Pole sana mkuu. Nenda naye taratibu kushughulikia hiyo past yake.

Mi wa kwangu alikuwa anapenda sana kugomba na lugha ya matusi. Nikajua chanzo cha hiyo tabia yake. Nikawa nafanya kumwelimisha taratibu kila anapogomba au kutoa lugha ya matusi. Huu mwaka wa tatu, amebadilika sana.

Anapobadilika positively usiache kumsifia.

Nilimwoa single mother, tuko na amani sana
Okay..hii n experience nzuri sana.
 
Hapo penye gharama za kuvunja hii ndoa ndipo panaponiumiza kichwa sana na kuendelea kuishi huku moyoni nateketea napo pananipa ugumu ndiyo maana nikaja JF unless niamue kusepa kimyakimya nikaanze upya ugenini... Point ku

Hapo penye gharama za kuvunja hii ndoa ndipo panaponiumiza kichwa sana na kuendelea kuishi huku moyoni nateketea napo pananipa ugumu ndiyo maana nikaja JF unless niamue kusepa kimyakimya nikaanze upya ugenini... Point ya kuanzia sasa
Kumbadili mtu mzima tabia n kazi ngum sana, inahitaj dedication na time. So, kama unaona umefikia kikomo cha kujaribu kumchange tabia, basi anza kuweka mikakati ya kumuacha taratibu (hasa kiuchumi). Ukishakua na misingi kiuchumi ndo ufanye maamuzi. Ukiacha gafla stress zitakuaa mzee. Kwa kipindi hiki ishi kimaigizo.
 
Marriage is all about sex if yes , usingeoa ungekaa na utaritibu wako wa hit and run .

Being single mama means she has nothing to offer kwako tofauti na ngono that is hell damn .

Jaribu kuangalia MTU ambaye she can offer more than sex .
 
Huyu sizan kama kabadilika....inaonekana kabla ya ndoa alkua anaFake ili jamaa aingie box. Jamaa kashajaa mke karudi kwenye default mode. Hili sio jipya. Ushauri:-atafute namna ya kuishi nae katika uhalisia wake, garama za kuvunja ndoa n kubwa.
You're right. Kachoka kukaa kwenye fake mode hahaha. Jamaa inabidi aingie kwenye adaptation mode
 
Unayopitia yananiumiza haswa maana Mimi nilitemwa ila kiuchumi nikarudi kuzimu japo sio single mother .

Natamani uigize maisha ya kuishi naye hivyo hivyo huku ukibadilisha umiliki wa vitu na pia ukificha hela ,ikifika hela ambayo unaona hata mkiachana mkagawana Mali bado utaishi vizuri bwaga manyanga Kaka .

Fanya kuanza kukusanya taratibu bora umuongopee kwenye baadhi ya vitu ila vipige bei kimya kimya ,bila hivyo nakuona ukija kuwa mgonjwa na mwenye mastress muda wote .

Pole Sana ,chukua hatua
Naruka na hili... Aisee umenifumbua macho, nadhani umetusanua wengi, nikifanikiwa kutoka sidhani kama nitarudi kwenye maisha ya ndoa tena... Unless nikutane na mwanamke atakayeuelewa zaidi ukimya wangu kuliko maneno yangu
 
Kumbadili mtu mzima tabia n kazi ngum sana, inahitaj dedication na time. So, kama unaona umefikia kikomo cha kujaribu kumchange tabia, basi anza kuweka mikakati ya kumuacha taratibu (hasa kiuchumi). Ukishakua na misingi kiuchumi ndo ufanye maamuzi. Ukiacha gafla stress zitakuaa mzee. Kwa kipindi hiki ishi kimaigizo.
[emoji419]Imepenya penyewe mkuu... Asante sana
 
Marriage is all about sex if yes , usingeoa ungekaa na utaritibu wako wa hit and run .

Being single mama means she has nothing to offer kwako tofauti na ngono that is hell damn .

Jaribu kuangalia MTU ambaye she can offer more than sex .
Just imagine una hamu ya kusex ila mwenzio unamuona kabisa ila humfikii unabaki kuumia ndani. Sio kwamba nikimuomba hanipi la hasha ila linakuwa penzi la upande mmoja, umpe zwd, umuandae, umpe maneno matamu, umpapase hapa na pale uje umpe dyudyu ye anakuangalia tu tofauti na mwanzo kabla sijamuoa alikuwa mtundu kweli. Mechi inapigwa ya pande zote mpk nakuwa nammiss muda wote

Pia kingine kwa tulipofikia hata nikitaka nianze kumuandaa ili nikidhi haja yangu nakosa nguvu maana naanzaje kumpa maneno mazuri au sifa ambazo hana, kila nikiongea nafsi inanisuta hisia zinaanza kupaa (haya ni ya sirini sana mkuu siwezi elezea vzr nikaeleweka maana inagusa hisia zaidi)

Ila unachosema uko sahihi sana mkuu
 
Umeongea point sana, niliamua kubadilika ili kuitafuta amani... Ila kubadilika kwenyewe sasa kunanipa maumivu ya ndani kwa ndani... Niliaamua kuacha kumrekebisha ninapohisi anakosea maana ukali umezidi mno... Kwa sasa hata akisema hii 9 wkt mimi naona ni 6 hata sibishani nae

Past yake : kuna nyakati alipitia magumu sana huko nyuma yakamfanya awe monster kwa muda
Samahani mkuu lakini wewe ni mpumbavu na wanaume wapumbavu mtaendelea kulia na kufa mapema, (inahuzunisha lakini mmejitakia so hakuna kupewa pole) Yani unabadilika ili uendane na MWANAMKE ?!!! Wtf women are takers and takers have no shame ukimpa mamlaka 2 atataka mamlaka 3 na 4 na 5 na 6 mpaka 10000000 na kisha atakuona haufai na ni ligoigoi.

Na kingine kwanza tu kuona single mother lazima yeye mwenyewe akudharau kua wewe ni mjinga na goi goi mabinti wote hawa mtaani uende kuona lisingle mother hivi akili zenu hua ziko likizo au ?!! Kuna watu ni wajinga sana haufai hata kuwaonea huruma.

Kuna workmate ameou lisingle mother yote uliyoelezea na yeye anayapitia kiufupi tu UKIONA MWANAMKE NI SINGLE MOTHER, KUNA SABABU KWANINI YUKO SINGLE na KAMWE usichukilie poa.

Kwamba huyo aliemzalisha na wakashindwana akasepa alikua mjinga wewe ndio mwamba sana wa kuvumilia wanawake wakorofi haya kula chuma Iko.
 
Mkuu kweli nimezingua, na kweli ni mpumbavu sina excuse ktk hilo... Nimezingua kwelikweli... Ni vile tu sikuwa na hiyo elimu hapo kabla juu ya single mother... Basi tena ni suala la muda tu yote yatapita. Nimeanza kulifanyia kazi
 
Naruka na hili... Aisee umenifumbua macho, nadhani umetusanua wengi, nikifanikiwa kutoka sidhani kama nitarudi kwenye maisha ya ndoa tena... Unless nikutane na mwanamke atakayeuelewa zaidi ukimya wangu kuliko maneno yangu
Jitahidi Kaka ,natamani nikusimulie mengi ila haitosaidia ,pambana uchomoke ,mwenzio nilichelewa kufanya hayo ,Sasa nipo nilichobakiza ni ajira tu ila watoto nilishaambiwa si wangu na Sasa wao wamenikana Mimi si baba yao .

Nishakaa jela sikumuona mwanangu Wala huyo mwanamke bad enough natoka Mali zikapigwa mgao ,kikubwa akapewa yeye kidogo ,nikapewa Mimi .

Haikuwa rahisi kukubali ila ujasiri na kukubali kuanza upya Sasa ninaishi Kaka ,ajira naendelea ,maisha na kidogo nilichoachiwa nakizingatia ili kesho isiwe ngumu kwangu .

Ila sio kwamba siamini kwenye mahusiano ,hapana bado naaamini wapo wadada wanajua nini maana ya ndoa na mahusiano hivyo bado najua ipo siku nitampata wa kuendana naye ,though sio Sasa maana nitakuwa muongo kusema simpendi tena mama watoto .

Bado nampenda yule dada na ninaamini alipitiwa ,Kuna muda narudisha muda nyuma na kuamini ipo siku atarudi japo ameshaolewa tena ila kwenye uhalisia ni ngumu .

Nilijaribu kuomba suluhu japo anisamehe anipe hata mtoto mmoja ila haikuwezekana zaidi ya kutishiwa kupelekwa polisi au kushitakiwa ofisini kwangu nikawa mpole .

Bro unapitia magumu ila bado hayajawa kiasi Cha kukupa stress hivyo yasolve mapema kabla hayajawa Kama yangu ,inauma ,uanaume ni kazi ,ni mateso ni tabu ila tumeumbwa kuvumilia wacha tuvumilie na maisha yawndelee.

Stay strong ,anza Sasa kujipanga ,usimdhuru Wala kuwaza kumdhuru utaiharibu kesho yako
 
Bado hiyo idadi haitoshi kuwabwaga single mothers.

Kumbuka pia wenye shida ktk ndoa sio single mothers pekee, hata walioolewa wakiwa bikra wana shida zao.

Tabia ya mtu na ukomavu wa akili huamua uhai wa ndoa
Single mama kabla hajaolewa tayari ana shida.Hao wengine shida zinaanza ndani ya ndoa
 
Ni kweli wako smart sana ni vile tu huwa tunawachukulia poa kwenye vikao vyetu vya wanaume... Na ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili sana... Ila huyu nadhani anataka kunizidi akili maana sio kwa ujuaji huo... Mkuu sio poa, nimekaa nayo kifuani muda mrefu ila naona nataka kupasuka, heri wadau humu mnavyotiririka kwangu nafuu maana nimepata na maujanja kupitia uzoefu wenu
Ngoja nikufahamishe kitu!

Si mwanamke tu bali mtu yeyote aliwa mjuaji hutowezana naye! Wajuaji wana sifa zifuatazo:

1)Hawana tabia ya kumsikiliza mtu
Anaweza kukusikia ila hakusikilizi! Na hakusikilizi kwa sababu anajiona anajua hivyo wewe unakosea na yeye anapatia.

2)Yeye ndiye anataka awe mwenye kauli ya mwisho:
Mjuaji yeyote anataka yeye kauli yake iwe ya mwisho! Kwa sababu anajiona yeye anajua na wewe hujui. Kwa namna hiyo, iwe isiwe ni lazima kwake kauli yake iwe ya mwisho kwa sababu anaona mawazo yake ndiyo yanajenga na yako yanabomoa.

3)Ukitĥubutu kumsahihisha hakubali makosa yake!
Mjuaji yeyote ukithubutu kumsahihisha hatokubali hata kidogo bali lawama atakuangushia wewe kwa kukuona wewe hufikirii sawa sawa hivyo wewe siyo muelewa.

Hizi sifa akiwa nazo mwanamke, kwenye mahusiano huyo mwanamke ataonekana!
1)Hamsikilizi mwanaume wake
2)Hakuheshimu
3)Jeuri
4)Kiburi
5)Anataka kumpanda mwanaume wake kichwani

Kama ni mwanaume tutaishia kusema huyu jamaa ni mbishi sana yaani hataki kushindwa!

Kwenye suala lako,
My friend, kama mwanamke wako ni mjuaji ili uishi naye vizuri uwe inakubidi kumwachia majukumu ya kiume kwenye familia ayabebe yeye! Kwa kifupi yeye awe juu na wewe uwe chini!

Kama hauwezi achana naye! Mnaweza mkadhuriana ndani humo ipo siku!

Maamuzi ni yako!
 
Jitahidi Kaka ,natamani nikusimulie mengi ila haitosaidia ,pambana uchomoke ,mwenzio nilichelewa kufanya hayo ,Sasa nipo nilichobakiza ni ajira tu ila watoto nilishaambiwa si wangu na Sasa wao wamenikana Mimi si baba yao .

Nishakaa jela sikumuona mwanangu Wala huyo mwanamke bad enough natoka Mali zikapigwa mgao ,kikubwa akapewa yeye kidogo ,nikapewa Mimi .

Haikuwa rahisi kukubali ila ujasiri na kukubali kuanza upya Sasa ninaishi Kaka ,ajira naendelea ,maisha na kidogo nilichoachiwa nakizingatia ili kesho isiwe ngumu kwangu .

Ila sio kwamba siamini kwenye mahusiano ,hapana bado naaamini wapo wadada wanajua nini maana ya ndoa na mahusiano hivyo bado najua ipo siku nitampata wa kuendana naye ,though sio Sasa maana nitakuwa muongo kusema simpendi tena mama watoto .

Bado nampenda yule dada na ninaamini alipitiwa ,Kuna muda narudisha muda nyuma na kuamini ipo siku atarudi japo ameshaolewa tena ila kwenye uhalisia ni ngumu .

Nilijaribu kuomba suluhu japo anisamehe anipe hata mtoto mmoja ila haikuwezekana zaidi ya kutishiwa kupelekwa polisi au kushitakiwa ofisini kwangu nikawa mpole .

Bro unapitia magumu ila bado hayajawa kiasi Cha kukupa stress hivyo yasolve mapema kabla hayajawa Kama yangu ,inauma ,uanaume ni kazi ,ni mateso ni tabu ila tumeumbwa kuvumilia wacha tuvumilie na maisha yawndelee.

Stay strong ,anza Sasa kujipanga ,usimdhuru Wala kuwaza kumdhuru utaiharibu kesho yako
Bro! Mbona umepitia makubwa sana? Pole sana bro!

Tatizo haswa lilikuwa ni nini mpaka mwenzako kakuadhibu hivyo?
 
Back
Top Bottom