Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ukisema nikimbilie huku kosa ili mradi tu, yani wanawake ni viumbe vya ajabu sana. Kipindi sijamuoa mda wowote na wakati wowote napewa ili mradi asiwe kwenye siku zake.kaka shetani nikaona mda wa kuoa ndio wenyewe nifaidi kabisa wakijua kwao.
Kosa likaanza hapo, nilipoingiza ndani tu na mimba juu basi ndugu yenu tokea amejifungua ni mwendo wa ratiba. Tena kitoto sijui kinajua mda kitaanza kujiliza kuzuia hata hiyo ratiba yenyewe.
Nitaongeza mke kupunguza ujinga.