Kabla sijamuoa nilikuwa sipangiwi tendo ila kumuoa tu napangiwa

Kabla sijamuoa nilikuwa sipangiwi tendo ila kumuoa tu napangiwa

Kama ni kukomoana na hana matatizo ya kiafya ndoa inakufa hiyo, hakuna kitu kinaua stimu za mapenzi na kuleta dhoruba kwenye ndoa/mahusiano kama hiyo tabia ya kupimiana au ukosefu wa pesa/umaskini
 
Haya ndio matokeo ya maisha.Mkewe kaenda kuvua katupa chambo kakuvua.
Sasa aendelee kutupa chambo wakati samaki yupo kwenye aquarium chumbani.Samaki hana uhuru tena anapewa chakula na mwenye samaki kwa ratiba.
Ukitaka uhuru samaki wewe rudi baharini.
 
Wanawake hawako kwenye mood ya sex wakati wowote Kama sisi. Tena Kama unataka umfaidi anza kumpalilia kuanzia ukiwa kazini na vimeseji vitamtam, halafu unarudi na kijizawadi, sifia nguo aliyovaa, sifia chakula sana, ongelea mipango chanya na usiwe umekunywa pombe. Hapo utaipewa yote na nusu.
Lkn ukija na mipombe yako, chakula chake hujala, aisee ingia bafuni na mafuta mgando.
 
Kataa ndoa papuchi sio ya kupangiwa ukiwa njee ya ndoa
 
Back
Top Bottom