Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
3,109
Reaction score
6,323
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wa kutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.

Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani, mwanamke mwenye heshima na upendo.

Humu sitafuti stress .

Aslam alyekum
Alamsik
 
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.

Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .

Aslam alyekum
Alamsik
Bado uko macho tuchat
 
images.jpeg-1.jpg
 
Mi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.

Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .

Aslam alyekum
Alamsik
Tupia avtar kama yangu tuone Nan zaid

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom