Mwanamwaiche
JF-Expert Member
- Apr 13, 2022
- 665
- 968
Weka picha ya kibwengo basi upunguze usumbufu.Mi mgeni nilitafuta mwanaume wa kutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani, mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .
Aslam alyekum
Alamsik