SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Bado uko macho tuchatMi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .
Aslam alyekum
Alamsik
YesBado uko macho tuchat
Aisee 😂Mwanamke mwenye heshima ni yule mwenye tako tuu
Uko Dar?
Duh! ulishaachika 🤣🤣🤣🤣🤣Aisee 😂
Hakuna cha bure, hapo lazima mtu agharamikeVijana waliua nyama imekuja
Kwani wanajari basi yeye aweke dau tuHakuna cha bure, hapo lazima mtu agharamike
[emoji23][emoji1787]Mwanamke mwenye heshima ni yule mwenye tako tuu
Mh mbaga nimekuona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] unataka trakoo ulipake mafuta mkuu[emoji39]Mwanamke mwenye heshima ni yule mwenye tako tuu
Tupia avtar kama yangu tuone Nan zaidMi mgeni nilitafuta mwanaume wakutulia naye. Sasa shida iko hivi kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi sana.
Mimi sio huyo kwenye picha mie nitofauti na huyo dada mie nina stara fulani ,mwanamke mwenye heshima na upendo.
Humu sitafuti stress .
Aslam alyekum
Alamsik