Kabla sijaweka picha kwenye avatar walitokea wachache ila nimeweka picha wametokeza wengi

Dia unatafuta humu. Pole in advance
 
karibu pm
 
Umekuja ki Unique Flower 🀭
So niwe katoto kazuri, niwe unique flower na sass swetycandy so all profiles are me sasa wewe unanitafuta nikuchambe nikikuchamba naona sina muda nikome kama ulivyokoma kule leba na uniheshimu kama mume aliyekufanya uitwe mama na ulivyokuwa leba unapiga mayowe kana chizi vile je ungekuwa mapacha je
 
Oo wow!
 
Kwa hiyo mahari shilingi ngapi?
 


Lete Maneno....

By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania

Huwezi Kula, Bila Kuliwa Kidogo

Watu Wanasema JK Hachomoi
Kwani Miye Nilichomeka Wapi Mpaka Nishindwe Kuchomoa



Mlisema Miye Mpole Dawa Kuleta Mkali
Nawaletea Chuma Hicho, Na SasA Kimeanza Kutema Che~Che
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Jamani siishi nae πŸ˜‚ khaaa
Ah sasa wikend sii ndio unatakiwa kuvamia kwake ili uhakikishe kuwa utamu wako warembo hawakamatii. Oh wee mbona unakuwa sio mjanja
 
Hizo β€œMiye” ni ukwere/uzaramo mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…