Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Pumba+pumba
 
Weeeee apiaa....duuuh usirembe mkuu huyo mama akikupigia mwambie tuu "am still alive" afu kama vipi rudi tuu ughaibuni,...ila sasa tatizo colour au unywe maji ya ray kigosi ili upokelewe tena home.....hahaha cjui hii nayo kengewa auu..
 
Dogo umeamua kutufanyia sinema sio?umechukua kisa cha india na kukifanyia mapichax2...
 
NOTE Kama unavuta bangi acha na uvute shuka maana ndo inakuaribu kichwa
NOTE kama unakunywa soda acha maana ndo inakutoboa meno.
Halafu ukiwa unaota usisahau kupiga selfie na hai ndg zako halafu utupostie.....
 
Ndiyo tatizo la kuvuta bangi iliyochanganywa na ugoro na kunywa dumu zima la gongo ya Malawi, jamaa mpaka unajiona unajua Kiingereza bila hata kujifunza!
 
NOTE Kama unavuta bangi acha na uvute shuka maana ndo inakuaribu kichwa
NOTE kama unakunywa soda acha maana ndo inakutoboa meno.
Halafu ukiwa unaota usisahau kupiga selfie na hai ndg zako halafu utupostie.....
Post za humu ndani fuluuu vicheko[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 

Jichange nenda kaonane nao muongee zaidi.au wape vipande vya ukweli wakiviamini hata kuja wanaweza.ukikutana nao tu hizo ndoto zitaisha
 
Kila siku nasema humu kuwa bange ni mbaya sana.Mimi sijawahi kuota kuhusu nje huko kama wee,hivyo mimi ndio first ku exist hivyo hakuna mtu aliyeishi kabla yangu na kwa kusema hivyo najithibitisha kabisa kuwa mimi huwa hapa bongo ni makusudi kabisa.
 
Hahahhah ili tuanze kukupa ushauri naomba ututhibitishie kwa picha ukiwa mzungu na sa hv ulivyo...pili kama kweli unajua kingereza bila kusoma hebu geuza uzi wako kwa kingereza,,,,nawasalisha hoja
[emoji133] [emoji133] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…