Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Ndivyo ninavyo amini baada ya kifo kuna maisha
 
Unaambiwa maisha ya baadae baada ya kifo Nyerere atazaliwa Tausi na ataishi ikulu.Sasa wewe na kina sie sijui mwanzo tulikuwa nini??!!!Labda wewe ulikuwa hata punda ulaya mkuu
Afu mkuu una dalili zote za mapepo mkuu,unahitaji maombi maana utajua vipi kingereza bila kusoma wala kufundishwa!!!!
Mkuu umenichekesha sana...nimeongeza Sikh....sasa nalala manager nilikuwa sijacheka Siku nzma
 
Umeshaunganishwa na malango ya giza, unahitaji deriverance kali sana.
 
Unaambiwa maisha ya baadae baada ya kifo Nyerere atazaliwa Tausi na ataishi ikulu.Sasa wewe na kina sie sijui mwanzo tulikuwa nini??!!!Labda wewe ulikuwa hata punda ulaya mkuu
Afu mkuu una dalili zote za mapepo mkuu,unahitaji maombi maana utajua vipi kingereza bila kusoma wala kufundishwa!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Habari za sikukuuu wapendwa,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 nimezaliwa ktk familia ya kawaida tu hapa tz tangu nipo ktk umri mdogo nimekuwa nikiota na kukumbuka mambo mengi ambayo kiuhalisia sijawahi kuyafanya tangu nimezaliwa.

Nimekuwa nikiota mara kwa mara ndoto nipo ktk mazingira tofauti ya ughaibuni na umbo pia na rangi tofauti na mimi yaani white person ikafikia kipindi usiku ninaota ndoto fulani hivi niko na familia yangu ambyo ni watu wenye asili ya kizungu pamoja tupo tunaongea kwa lugha ya kizungu hiki kitu kimenisumbua sana toka nilipoanza kujitambua kwani ni watu wale wale ninawaotaa kila mara nimeombewa sana lakini wapi imefikia kipindi mpaka nikajua kiingereza japo mimi sikusoma kiivo lakini kizungu naongea vizuri.

Sasa katika kupitia zile ndoto ambazo naota na kwakuwa majina ya wale kupitia zile ndoto ninawajua nikaanza kuwatafuta katika mitandao ya kijamii nikiambatanisha na sehemu niliyokuwa naisikia mara kwa mara ndipo nilipopata confirmation ya hiyo familia na historia yao kiufupi kuwa the day mtoto wao pekee alipofariki ndio day mimi nilizaliwa.

Yaani the same year day mpaka saa nilishangaa sana nilipoona picha ya yule jamaa yaani tunafanana kabisa tofauti rangi, ningependa niwaoneshe picha but kutokana na hii JF ilivo sitoweza .

Yaani wale watu niliokuwa nawaota ndo wale wale niliowaona facebook yale mazingira kiufupi nahisi nilikuwa mwanzo naishi huko, nikaamua kutafuta mawasiliano nao nikapata, nikapiga simu niongee nao nilipopiga akapokea mama fulani iv alipopokea akaniita jina ambalo ninasikiaga ndotoni huku akilia akisema my son you still alive? yaani mpaka sasa sijielewi hii no inanitafuta kila mara sasa sijui nifanye nini.

Ushauri wenu plzzzz
Jaribu kutoa ushuhuda vikubwa zaidi unaweza ukawa kweli af ikawa ajabu kubwa dunian...
 
Kama ingekuwa hivi manake,idadi ya population isingechange, sasa kama population ya,dunia inaongezeka inamaana kuna mafisi wamamekufa na kuzaliwa watu
Kutokana na matendo yako ukiwa mwema unazaliwa mtu..ukiwa mkaid dhambi tupu.. Unakuwa hata konokono
 
Kama ingekuwa hivi manake,idadi ya population isingechange, sasa kama population ya,dunia inaongezeka inamaana kuna mafisi wamamekufa na kuzaliwa watu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Patamu hapooo...kama ulikuwa :
1.Mwanaume ukifa unazaliw Mwanamke.
2.Hufikishi wanawake kileleni,ukifa unazaliwa mwanamke na wewe hufikishwi kileleni.
3.Kama ulikuwa shababi wa kugegeda madem kibao ,ukifa unazaliwa mwanamke na unagegedwa kwa fujo na mabwana wengi.
4.Kama ulikuwa unapenda kuomba 0713 wakat wa mgegedo,ukifa unazaliwa mwanamke na wewe utaombwa 0713.
5.Ulikuwa hupendi kuhonga,ukifa utazaliwa mwanamke na huhongwi na mgegedo utatoa.
Duh wanaume tubadilike kama ni kweli kuna kuzaliwa twice basi tutakufa na presha kulipia tabia zetu..teh
 
Back
Top Bottom