Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

Una chukuliwa msukule au unachukuliwa na majini au wachawi wanakupeleka sehemu walipo wenzao kwa rangi zao mbalimbali nawea unaanza kupenda kuishi nao.ukizidi kupenda kinachobakia ni wao kukupeleka tu huko ukaishi moja kwa moja.

hayo ni mapepo wala siyo deal usifurahie. nenda kaombewe kabla hawajakuchukua moja kwa moja
 
Hivi ile vita ya bangi na madawa ya kulevya iliishia wapi? Naishauri serikali iongeze nguvu na uchunguzi zaidi.
 
Mimi nahisi ni kwa sababu ya chama unacho shabikia, mana kuna chama kimewafanya wanachama kutokwa na akili so labda na wewe uko katika hiyo stage ya kuwa brainwashed
 
Tafuta nauli urudi kwenu.

Ila kabla hujaenda Ulaya, pitia ofisi za UHAMIAJI waambie mimi sio RAIA.

Ukifika tupe taarifa ndugu zako wamekupokeaje, na huo WEUSI nafuu ya BUTI la SOJA...!!
 
Kama ingekuwa hivi manake,idadi ya population isingechange, sasa kama population ya,dunia inaongezeka inamaana kuna mafisi wamamekufa na kuzaliwa watu

Inawezekana Ndovu wengi sana wamegeuka maraia! ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom