GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata.
Nichukue Fursa hii Kuwapongeza sana 'Mabwege Nation' kwa Kutokurupuka kupeleka Askari Wao kama Walivyokurupuka wa Kenya kwani kwa jinsi ninavyowajua Walivyo dhaifu kwa Siku za Karibuni kama wakipelekwa huko 400 watakaorejea 'Bwege Nation' watakuwa ni Wawili au Watatu na hata hawa pia kutokana na Majeraha watakayokuwa nayo wanaweza Kuondokea mazima ICU Kwao.
Hakuna wa Kumuweza Mtutsi EAC!!!