Kabla ya 'Bwege Nation' nanyi kuwapeleka Wenu Congo DR, waulizeni wa Kenya kinawakuta nini huko sasa kwa M23

Kabla ya 'Bwege Nation' nanyi kuwapeleka Wenu Congo DR, waulizeni wa Kenya kinawakuta nini huko sasa kwa M23

Huyu jamaa anaongeaga Ukweli , sa hv hata ikitokea Vita hii nchi watakaopigana ni wanajeshi wenyewe , 😁 wanazengo wanaweza kuwa betrayal wakubwa Sana ... Mana kuna gap kubwa na linazidi kuongezeka Kati ya wanaojiita watawala na wananchi , tuombee tuu amani Mungu aendelee kuishikilia .....

Hata uwe na jeshi kubwa lenye nguvu Kias gani bila support ya wananchi hamna kitu utafanya , Ukraine mpak hapo inasurvive sababu ya high civilian support ..

Ifike hatua watawala wajue thamani ya wananchi , na sio kuwasha umeme masaa 6 Kwa sku , ili ufanye biashara za mafuta, gesi na majenereta , hata hvyo kizazi cha mabumbumbu kinazd kupungua huku kizazi cha wakorofi kinazd kuchomoza , tutaelewana tuu badae kidog
 
Hao vijana wakata mauno wataweza
Wanafikiri vita ni kucheza ndombolo
Vita ni strategy mzee....
Watu,vijana wa kikongo vita hawaiwezi maana akili zao zimejaa starehe na kukata mauno
Na sahv kn nchi mmj inaelekea kuwa kama kongo maana kutwa watu ni mziki na kukata mauno ya b...fleva

Ova
Sasa hao m23 wanapiganaga na nani huko congo
 
Back
Top Bottom