GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ninachofurahi tu ni kwamba Unanichukia na hunikubali kwa lolote ila 24/7 uingiapo ( Log In ) tu hapa Jamiiforums ni lazima Usome Threads au Posts zangu na hata Kuzichangia na Kuzilaiki ( Like ) vile vile Kudadadeki.Unamaana ndio yule mfalme juha mwenyewe
Wewe subiri Bahima wenzako waendelee kula kichapo,mpaka wamtaje aliyewatuma.Tumeshawadagasaga na alshababu Sasa ni ndugu zako M Vingt-troisWanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata...
Tutemane naeAnaokoteza vihabari anajifanya ana taarifa hebu muulize hata ataje signal contacts za M23 au za EACRF ili tujue kweli ana taarifa za nini kinaendelea battlefield, hana hoja mpeni nafasi kishavurugwa huyo
Wewe unadhani nani anaogopa mapigo yako makali.?BilgAte, malantu na smarte_r hapa GENTAMYCINE natukanwa hivi mmenyamaza na wala hamlalamiki ila nikijibu tu Mapigo yangu Makali na Takatifu Kwako mtajitokeza huko Mafuchoni mliko Kunilaumu na hasa hasa kuniombea nipigwe BAN ambayo huwa mnaiombea Kwangu kuliko hata mnavyomuomba Mwenyezi Mungu kwa Dua Kila Asubuhi na Jioni ( Usiku )
Cc: Cookie and Paw
Mbona hauandiki Kwa fonttype yako. Au Ile Huwa unaitumia ukiwa kwenye mudi ya kufunga vijana matukano.Ninachofurahi tu ni kwamba Unanichukia na hunikubali kwa lolote ila 24/7 uingiapo ( Log In ) tu hapa Jamiiforums ni lazima Usome Threads au Posts zangu na hata Kuzichangia na Kuzilaiki ( Like ) vile vile Kudadadeki.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Nyote.Wewe unadhani nani anaogopa mapigo yako makali.?
Wewe ni nani wa Kunishauri au Kulazimisha nifanye utakavyo? Mamlaka hayo kakupa nani dhidi yangu?Mbona hauandiki Kwa fonttype yako. Au Ile Huwa unaitumia ukiwa kwenye mudi ya kufunga vijana matukano.
Ila wee jamaa hivi nati zote zimekaza vizuri kweli kichwani mwako?🤣🤣Wewe ni nani wa Kunishauri au Kulazimisha nifanye utakavyo? Mamlaka hayo kakupa nani dhidi yangu?
Zimetimia na ndiyo maana ni 'Brainy' pia.Ila wee jamaa hivi nati zote zimekaza vizuri kweli kichwani mwako?🤣🤣
Absolute Rubbish.We fala unaonesha hujui historia vizur! Hao M23 hujui walichofanywa na JWTZ enzi za JK?? wapuuzi kama nyie ndo mnalala kwenye nyumba za dada zenu huku mkiwa mna ndevu! Huyo kagame hujui alichofanywa na JK had akaanza kulalamika kwamba hatuna ugomvi na watanzania!! Mbwa koko tu wewe
M23 ni ya rwanda chini ya kagame, na hata huyo anae iongoza sasa kateuliwa na kagame, sasa iweje UN ishirikiane na rwanda kuitafuta m23!!? Kagame kaitaka m23 irudishe miguu nyumbani huku akihitaji suluhu ya mezani baada ya raisi wa kongo kutaka vijana wajiunge na jeshi, vijana zaidi ya elfu2 wamesha sajiliwa na ndio walewale wahanga wa mauaji ya kimbari! Kagame [emoji100][emoji3530][emoji3517] yana gonga chupi hukoHivi yule jenerali mwenye kamdomo kekundu na anatembea na fimbo wa M23 aliyekimbilia Rwanda ndio karudi kufufua mapambano au .? Nimemsahau Jina nadhani aliitwa Sultani Makenge enzi zile.
Ningeshauri UN utumie jeshi la Rwanda kuwasakafia hao wajomba
Pimbi wahead, Bhangi zimekuvuruga mpaka matakoni, unajamba moshi kenge wee!Wanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata.
Nichukue Fursa hii Kuwapongeza sana 'Mabwege Nation' kwa Kutokurupuka kupeleka Askari Wao kama Walivyokurupuka wa Kenya kwani kwa jinsi ninavyowajua Walivyo dhaifu kwa Siku za Karibuni kama wakipelekwa huko 400 watakaorejea 'Bwege Nation' watakuwa ni Wawili au Watatu na hata hawa pia kutokana na Majeraha watakayokuwa nayo wanaweza Kuondokea mazima ICU Kwao.
Hakuna wa Kumuweza Mtutsi EAC!!!
Bleeding Mental health,dishi lako lilishayumba Ni wa kukupuuza tuuWanajeshi wa Kenya waliosakiziwa na Rais wao Mgeni Madarakani kuwa waende Kuungana na Jeshi Bovu na Goi Goi la Congo DR ili Wapambane na Waasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23 sasa Wanajuta kwanini walikurupuka kwenda huko kutokana na Kipigo Kitakatifu wanachokipata.
Nichukue Fursa hii Kuwapongeza sana 'Mabwege Nation' kwa Kutokurupuka kupeleka Askari Wao kama Walivyokurupuka wa Kenya kwani kwa jinsi ninavyowajua Walivyo dhaifu kwa Siku za Karibuni kama wakipelekwa huko 400 watakaorejea 'Bwege Nation' watakuwa ni Wawili au Watatu na hata hawa pia kutokana na Majeraha watakayokuwa nayo wanaweza Kuondokea mazima ICU Kwao.
Hakuna wa Kumuweza Mtutsi EAC!!!
Hao vijana wakata mauno watawezaM23 ni ya rwanda chini ya kagame, na hata huyo anae iongoza sasa kateuliwa na kagame, sasa iweje UN ishirikiane na rwanda kuitafuta m23!!? Kagame kaitaka m23 irudishe miguu nyumbani huku akihitaji suluhu ya mezani baada ya raisi wa kongo kutaka vijana wajiunge na jeshi, vijana zaidi ya elfu2 wamesha sajiliwa na ndio walewale wahanga wa mauaji ya kimbari! Kagame [emoji100][emoji3530][emoji3517] yana gonga chupi huko
Mpaka hapo umekubari kwamba mdhamini wao ni Kagame, Felixè Tsekedi karuhusu vijana 2000 wajiunge na jeshi, na vijana hao sio wengine bali ni vijana wa Kihutu wanaoishi Congo, M23 ni Watutsi chini ya ufadhiri wa Kagame, kwa hio hapo ni vita baina ya Wahutu na Watutsi nchini CongoWaasi wenye Akili Kubwa za Kitutsi wa M23
Ni sawa na kusema hakuna wa kumuweza Kagame EAC, ushaeleweka mkuu hio code tumeshaifungua ni code rahisi sanaHakuna wa Kumuweza Mtutsi EAC!!!
Sio wa mashariki.......wakata mauno wa huko magharibi.......mashariki kila siku mikiki hakuna muda wa maunoHao vijana wakata mauno wataweza
Wanafikiri vita ni kucheza ndombolo
Vita ni strategy mzee....
Watu,vijana wa kikongo vita hawaiwezi maana akili zao zimejaa starehe na kukata mauno
Na sahv kn nchi mmj inaelekea kuwa kama kongo maana kutwa watu ni mziki na kukata mauno ya b...fleva
Ova