Kabla ya 'Bwege Nation' nanyi kuwapeleka Wenu Congo DR, waulizeni wa Kenya kinawakuta nini huko sasa kwa M23

Huyu jamaa anaongeaga Ukweli , sa hv hata ikitokea Vita hii nchi watakaopigana ni wanajeshi wenyewe , 😁 wanazengo wanaweza kuwa betrayal wakubwa Sana ... Mana kuna gap kubwa na linazidi kuongezeka Kati ya wanaojiita watawala na wananchi , tuombee tuu amani Mungu aendelee kuishikilia .....

Hata uwe na jeshi kubwa lenye nguvu Kias gani bila support ya wananchi hamna kitu utafanya , Ukraine mpak hapo inasurvive sababu ya high civilian support ..

Ifike hatua watawala wajue thamani ya wananchi , na sio kuwasha umeme masaa 6 Kwa sku , ili ufanye biashara za mafuta, gesi na majenereta , hata hvyo kizazi cha mabumbumbu kinazd kupungua huku kizazi cha wakorofi kinazd kuchomoza , tutaelewana tuu badae kidog
 
Sasa hao m23 wanapiganaga na nani huko congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…