Kabla ya DP WORLD Tanzania ilikuwa imetulia, Sasa Tanganyika inalia😭

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai.

Bora amani kuliko hela za Mwarabu.

Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao.

Hili la Dubai ni mradi wa watu?

Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti?
Your browser is not able to display this video.

Amani na utulivu ni muhimu kiliko chochote utakachotuketea. Mtu anapenda fedha hadi anatamani kutoa uhai wa watu. Siku zote Tanganyika sio Wakorofi. Wazazi msiwachokoze watoto wenu wasije wakatenda mabaya. Kitu chema hakileti ugmvi bali upendo na furaha. Ugomvi unatoka wapi?
 
kwanini huyu mwana kwaya amesema yale makontena ya kanisa sasa kutozwa kodi mwanzo hilo halikuwepo.
 
My take.
Muda si mrefu tutasikia Tanzania yashindwa kesi na DP world yatakiwa kulipa trillioni 15.

Njia mpya iliyobuniwa na wakubwa ndani ya serikali kuchota kodi za walala hoi, unasaini mkataba wa kijinga ambao ni kichaa tu anayeweza kuuvumilia alafu ukiulizwa unasema tumeshindwa kesi tulipeni tu.
 
Mimi nnafurai kuona mwanaccm anapokemea uovu wa chama chake

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mjadala wa Bandari ulikuwa unaenda vizuri sana Slaa kauharibu
 
Umeona na wewe Hali mbaya
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe
 
zimwi la unyarwanda siyo Mwarabu, mwarabu anatumika tu lkn Emirate hana interest yoyote na Tanzania, ishu ni Kongo drc, wanataka bandari ya kupitishia mali na damu ya Kongo …
 
zimwi la unyarwanda siyo Mwarabu, mwarabu anatumika tu lkn Emirate hana interest yoyote na Tanzania, ishu ni Kongo drc, wanataka bandari ya kupitishia mali na damu ya Kongo …
Kongo, Tzania na Rwanda hawawezi kumtumia Emirates. Sisi ndio tunatumiwa. Mwafrika hajawahi kuwa na upeo, kujitambua, na uthubutu wa kumtumia mwarabu au mtu mwingine yeyote wa dunia hii.
 
Mjadala wa Bandari ulikuwa unaenda vizuri sana Slaa kauharibu
Punguza mihemko, maswali ukiulizwa kumhusu Dr. Slaa unashindwa kujibu, weqe utakuwa na ajenda yako ya siri, nenda kwa wale wana kikundi wenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…