figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hili zimwi la Dp world ni la Dubai, lirudi Dubai.
Bora amani kuliko hela za Mwarabu.
Viongozi wasitumie vyeo vyao kufanikisha watakayo, kwa manufaa yao na familia yao na ndugu zao.
Hili la Dubai ni mradi wa watu?
Je, Tulio wakabidhi nchi wametusaliti?
Amani na utulivu ni muhimu kiliko chochote utakachotuketea. Mtu anapenda fedha hadi anatamani kutoa uhai wa watu. Siku zote Tanganyika sio Wakorofi. Wazazi msiwachokoze watoto wenu wasije wakatenda mabaya. Kitu chema hakileti ugmvi bali upendo na furaha. Ugomvi unatoka wapi?