Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

Issakson makanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
731
Reaction score
1,158
Nawaza kwa sauti ya kizalendo,

Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa.

Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni.

Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia ina dira gani ili kwenda na kasi ya dunia, hivi wana ccm jamani kwa dunia ya leo kiongozi apatikane kwa kujua kusoma na kuandika tu hahah. Ebu tuamke tutoe matongotongo machoni tunachelewa.

Tumeshasomesha vijana wengi hatuna tena uhaba wa wasomi kwa sasa katiba iseme diwani walau awe na diploma na kuendelea, mbunge aanzie walau degree. Leo dr tulia lazima awe kiburi maana wanaomzunguka pale bungeni wata challenge kitu gani?

Vivyo hivyo na kwenye halmashauri zetu madiwani hamnazo watajadili nn na mkurugenzi phd au masters jaman, hebu tuamke jamani walau diwani awe na diploma ,mbunge degree na kuendelea na huku kwenye mitaa na vijiji form 4 inatosha.

Inatia aibu karne ya leo diwan hajui kusoma yupo halmashauri jaman Tanzania tuzinduke na ndo mana halmashauri zote nchini ni wizi wa fedha za uma

Naamini katiba za vyama zitaleta mwanga kwa katiba mama ya nchi kwenye sekta zote.
 
Well said. Hoja ni kwamba, vyama yenyewe vitakubali mabadiriko haya? Wale walioko ofisini Ambao hawakujaliwa kuendelea mbele kimasomo na Ambao ndio waamzi wa Leo hii, na Ambao ndio wengi na mtaji muhimu kwa vyama husika, hawatakuwa tayari
 
Nawaza kwa sauti ya kizalendo,

Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa.

Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni.

Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia ina dira gani ili kwenda na kasi ya dunia, hivi wana ccm jamani kwa dunia ya leo kiongozi apatikane kwa kujua kusoma na kuandika tu hahah. Ebu tuamke tutoe matongotongo machoni tunachelewa.

Tumeshasomesha vijana wengi hatuna tena uhaba wa wasomi kwa sasa katiba iseme diwani walau awe na diploma na kuendelea, mbunge aanzie walau degree. Leo dr tulia lazima awe kiburi maana wanaomzunguka pale bungeni wata challenge kitu gani?

Vivyo hivyo na kwenye halmashauri zetu madiwani hamnazo watajadili nn na mkurugenzi phd au masters jaman, hebu tuamke jamani walau diwani awe na diploma ,mbunge degree na kuendelea na huku kwenye mitaa na vijiji form 4 inatosha.

Inatia aibu karne ya leo diwan hajui kusoma yupo halmashauri jaman Tanzania tuzinduke na ndo mana halmashauri zote nchini ni wizi wa fedha za uma

Naamini katiba za vyama zitaleta mwanga kwa katiba mama ya nchi kwenye sekta zote.
Mbona wasomi ndiyo wezi stadi wa fedha za umma? Andrew Chenge n.k
 
Back
Top Bottom