Kabla ya kuitwa Bahari ya Hindi, hii kitu iliitwaje?

...utahitaje bahari ya Tanga wakati bahari imecover mamia ya nchi na maelfu ya mikoa ? Ndio maana wazungu walipokujq wakaipa jina la kidunia na sababu ni kuwa katika nchi zote zilizopitiwa na Indian Ocean ni India ndio inaongoza kwa kuwa na eneo kubwa (ikiwemo bandari) vipi na kuhusu ziwa Victoria ? Kabla wazee wa malkia kuja liliitwaje kwa huku Tz, Uganda na KE ?
 
Usiangaike sana kujifunza vitu ambavyo havikusaidii, hii nmejifunza chuo prof anatoa notes mkasome sasa wasongo walikua wanasoma ad vile ambavyo prof ajasema tusome mwisho wa sku ukija kwa mtihani uvikuti ivyo ulivyosoma extra ila unakuta kile tu prof kasema msome kinachofuata ni sap tu sabu umesoma ambacho hakikusaidii
 
Huko Kagera ziwa Victoria linaitwa Rweru. Hata timu ya mkoa wa Kagera miaka ya nyuma ilikuwa inaitwa Rweru Eagles.
 
Usiangaike sana kujifunza vitu ambavyo havikusaidii, hii nmejifunza chuo prof anatoa notes mkasome sasa wasongo walikua wanasoma ad vile ambavyo prof ajasema tusome mwisho wa sku ukija kwa mtihani uvikuti ivyo ulivyosoma extra ila unakuta kile tu prof kasema msome kinachofuata ni sap tu sabu umesoma ambacho hakikusaidii
Umeongelea Supp umenikumbusha mbali sana .
 
Huna ushawishi wowote halafu unataka mtaa upewe jina lako?
Nahin.
 
Namtafuta mwalimu alienifundisha kwamba duniani kuna bahari 7 .

Aliniona mi mjinga sana HA!HA!HA
 
Kwanza bahari dunia nzima ni moja tu hakuna bahari ya hindi atlantic au ocean hayo ni majina ya kieneo
Hiyo sio shida sana. Tuna Mto Ruhaha Mkuu, Mto Kilombero, na mingine mingi, lakini mwisho wa siku kuna point mito hiyo hukoma majina yake na Jina Mto Rufiji huzaliwa.
 
Back
Top Bottom