Soma na kuelewa vizuriHivi watu wa ijumaa mna matatizo gani vichwani?
Kwanini mnakimbilia dini kama kichaka chenu?
Tupige vita chama kinachotutengenezea viongozi wanafiki nchi hiiUmeandika upuuzi
Hivi Dini anayosema Mchungaji Tony Kapola kwamba wanaoa vitoto vya miaka 6 ni hiyo ya Islam?Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru
Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida
Sasa jamani ili tumjue kwa uzuri Polepole wa Sasa lazima tumfanyie Murr'ajaa Polepole wa enzi ya Kikwete na wa Magufuli
Nianze na WA Kikwete
Huyu alikuwa kijana mwanaharakati mstarabu mpenda haki alikuwa mwiba mkali kwa serikali ya Jakaya pale tu iliponyesha kuminya haki za watu kiuchmi na kidemokrasia
Alikuwa mlanifu mbobevu wa uminyaji wa demokrasia hata kufikia kutuaminisha kuwa CCM kwenye sanduku huru la kura hawatoboi
Na pia alipigania upatikanaji wa katiba sambamba na kina Warioba na yote haya alionekana ni kijana mwenye mahaba kwa Taifa lake
Polepole wa Magufuli
Huyu alikuwa kiongozi mwandamizi wa chama na mtu wa karibu wa raisi Magufuli
Alishiriki Moja kwa Moja vitendo vya uvunjifu mkubwa wa demokrasia katika uchaguzi wa 2020 akishirikiana na Magufuli walivuruga uchaguzi nchi nzima na kupeleka wabunge wa kuteuliwa na serikali bungeni na kuharibu kabisa karia ya bunge na kulifanya kuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze
Polepole wa Samia
Huyu karudi kuwa mwanaharakati anayefichua Siri za serikali akiwa mafichoni
Haonekani Tena kama mtetezi wa wanyonge Bali anaonyesha chuki kubwa haswa kwa mwenyekiti wa chama chake anayeonekana kwamba amejitwalia kwa mabavu tiketi ya ugombea urais kupitia chama cha mapinduzi
Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini
Polepole anaonyesha kuchukizwa sana nautawala mwingine usio wa Imani yake kama wanavyochukia wengi ila wameficha chuki zao
Sikosei kusema Polepole hachukii mienendo ya uvunjifu wa haki wa chama chake Bali huchukia mienendo hii endapo tu itasimamiwa na Mwenyekiti muisilam.
Naomba kutoka hojja
Tunamtaka Polepole wa sasa. The past is goneKwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru

Achana na story Tony tujadili mstakabal wa taifaHivi Dini anayosema Mchungaji Tony Kapola kwamba wanaoa vitoto vya miaka 6 ni hiyo ya Islam?
Samahani lakini niko nje ya mada 🐼
Kana chuki mpk Mungu amekanyima nuru. Yaani pamoja na pesa kalizopata kkn still kamekaukiana kuliko ht masikiniKwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru
Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida
Sasa jamani ili tumjue kwa uzuri Polepole wa Sasa lazima tumfanyie Murr'ajaa Polepole wa enzi ya Kikwete na wa Magufuli
Nianze na WA Kikwete
Huyu alikuwa kijana mwanaharakati mstarabu mpenda haki alikuwa mwiba mkali kwa serikali ya Jakaya pale tu iliponyesha kuminya haki za watu kiuchmi na kidemokrasia
Alikuwa mlanifu mbobevu wa uminyaji wa demokrasia hata kufikia kutuaminisha kuwa CCM kwenye sanduku huru la kura hawatoboi
Na pia alipigania upatikanaji wa katiba sambamba na kina Warioba na yote haya alionekana ni kijana mwenye mahaba kwa Taifa lake
Polepole wa Magufuli
Huyu alikuwa kiongozi mwandamizi wa chama na mtu wa karibu wa raisi Magufuli
Alishiriki Moja kwa Moja vitendo vya uvunjifu mkubwa wa demokrasia katika uchaguzi wa 2020 akishirikiana na Magufuli walivuruga uchaguzi nchi nzima na kupeleka wabunge wa kuteuliwa na serikali bungeni na kuharibu kabisa karia ya bunge na kulifanya kuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze
Polepole wa Samia
Huyu karudi kuwa mwanaharakati anayefichua Siri za serikali akiwa mafichoni
Haonekani Tena kama mtetezi wa wanyonge Bali anaonyesha chuki kubwa haswa kwa mwenyekiti wa chama chake anayeonekana kwamba amejitwalia kwa mabavu tiketi ya ugombea urais kupitia chama cha mapinduzi
Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini
Polepole anaonyesha kuchukizwa sana nautawala mwingine usio wa Imani yake kama wanavyochukia wengi ila wameficha chuki zao
Sikosei kusema Polepole hachukii mienendo ya uvunjifu wa haki wa chama chake Bali huchukia mienendo hii endapo tu itasimamiwa na Mwenyekiti muisilam.
Naomba kutoka hojja
Taifa liko shwariAchana na story Tony tujadili mstakabal wa taifa
Yawezekana kaandika upuuzi, ok usie na jinsia hebu tuambiane mtoa mada ni wap kasema uongo??Umeandika upuuzi
Wakati wa mwinyi kanisa lilitoa matako 15, wakati wa mkapa Matamko 5, kikwete matamko zaidi ya 18, magu manne now kila kona na vijana wa kanisa wamechachamaa unadhani hatuoni tunawazoom tuTatizo lenu mnajishtukia hamjiamini
Mmeamua kutafuta kichaka cha udini
Low think capacity
Anaetetea kanisa?Tunamtaka Polepole wa sasa. The past is gone
Yan kwakweli kobazi wa bongo sijui kwann nyinyi huwa ni watu wa kujishtukia shtukia tu....Nyinyi ndio mnaeneza udini hapa duniani badilikeni bhana kuna maisha baada ya hizo dini za kuletwa na mitubwi.Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru
Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida
Sasa jamani ili tumjue kwa uzuri Polepole wa Sasa lazima tumfanyie Murr'ajaa Polepole wa enzi ya Kikwete na wa Magufuli
Nianze na WA Kikwete
Huyu alikuwa kijana mwanaharakati mstarabu mpenda haki alikuwa mwiba mkali kwa serikali ya Jakaya pale tu iliponyesha kuminya haki za watu kiuchmi na kidemokrasia
Alikuwa mlanifu mbobevu wa uminyaji wa demokrasia hata kufikia kutuaminisha kuwa CCM kwenye sanduku huru la kura hawatoboi
Na pia alipigania upatikanaji wa katiba sambamba na kina Warioba na yote haya alionekana ni kijana mwenye mahaba kwa Taifa lake
Polepole wa Magufuli
Huyu alikuwa kiongozi mwandamizi wa chama na mtu wa karibu wa raisi Magufuli
Alishiriki Moja kwa Moja vitendo vya uvunjifu mkubwa wa demokrasia katika uchaguzi wa 2020 akishirikiana na Magufuli walivuruga uchaguzi nchi nzima na kupeleka wabunge wa kuteuliwa na serikali bungeni na kuharibu kabisa karia ya bunge na kulifanya kuwa bunge la hovyo kuwahi kutokea tangia mfumo wa vyama vingi uanze
Polepole wa Samia
Huyu karudi kuwa mwanaharakati anayefichua Siri za serikali akiwa mafichoni
Haonekani Tena kama mtetezi wa wanyonge Bali anaonyesha chuki kubwa haswa kwa mwenyekiti wa chama chake anayeonekana kwamba amejitwalia kwa mabavu tiketi ya ugombea urais kupitia chama cha mapinduzi
Sasa mimi nataka kusema nini kuhusu Hawa Mapolepole watatu
Ukitizama kwa jicho kuu utagundua kuwa Polepole anateswa na kitu kimoja tu ambacho ni Udini
Polepole anaonyesha kuchukizwa sana nautawala mwingine usio wa Imani yake kama wanavyochukia wengi ila wameficha chuki zao
Sikosei kusema Polepole hachukii mienendo ya uvunjifu wa haki wa chama chake Bali huchukia mienendo hii endapo tu itasimamiwa na Mwenyekiti muisilam.
Naomba kutoka hojja
Ni muhimu kujikita ktk kuzielewa hoja na kuzichambuaYan kwakweli kobazi wa bongo sijui kwann nyinyi huwa ni watu wa kujishtukia shtukia tu....Nyinyi ndio mnaeneza udini hapa duniani badilikeni bhana kuna maisha baada ya hizo dini za kuletwa na mitubwi.
Mama ana mapungufu mengi lkn dini yake imekuwa na asbab kubwa ya attacking zote hiziWell said, Hakuna zaidi ya Dini ya mama inawatesa saana wafarisayo wa mbagala